Ndugu wana jforum. Saalamu
Nimesoma kwa makini hoja zilizopo kwenye hoja binafsi ya Bashe anayokusudia kuiwakilisha Bungeni katika Bunge la Bajeti mwezi April. Nilichobaini hoja zake ni kama za Mange tu (Copy & Paste) ila kazipaka rangi kidogo.
Nimefanya reseach yangu kwa muda juu ya hoja za...
Upumbavu wa wanasiasa wengi ni kufikiri kwamba wao ndo wanaakili na kujua mambo kuliko viongozi walio madarakani. Na mmoja wa hao ni huyu zero brain Zitto Kabwe
Nchi yenye wasomi sampuli ya mhe Zitto, nchi yangu Tanzania. Ni másikitiko makubwa pale wasomi hawa wanaojitanabaisha kwamba wana...
Hivi nchi hii ni lini tutaacha kufanya kila kitu siasa.... Hakuna cha Kigaila wala nini hapa. Haya mawazo yalikuwepo hata tangu ya Kigaila. Mkiishiwa sera kaeni kimya tu acheni watu waliopewa mamalaka wahape kazi. Misiba siasa, CDA siasa tumechoka
Mbowe alisema Lowasa aliletwa na Dr Slaa, Dr Slaa alisema Lowasa ameletwa na Gwajima na Mbowe,Gwajima alisema Lowasa aliletwa na Slaa akishirikiana na yeye Gwajima, Lipumba anasema Lowasa ameletwa na Mbatia, Mbatia alisema Lowasa ameletwa na Lipumba, Maalim anasema Lowasa aliletwa na Lipumba...
Acheni ujinga jamani. Hii nchi ni yetu wote. Tusipende kubeza kila kitu hasa kwa vitu ambavyo hatuvijui.
Kuvunja matofali au ubao haina maana kuna vita ianayopiganwa na tofali au mbao ila ni moja ya silaha baridi.
Ila pia kufanya hayo ni moja tu ya njia za kujenga ujasiri wa kupambana na...
Eti kuondolewa kwake madarakani kuna siri kubwa ipi? Ni utovu wake wa nidhamu. Nape asijifanye masiha kwamba bila yeye mambo CCM yasingekwenda. Eti anajitapa alimpigia kampeni Rais Magufuli. Sasa kila mtu kwenye kampeni akisema hivyo tutafika kweli.
Wakati utaongea kama tunaongozwa kwa KUBAHATISHA au la. Shida manataka kumpangia Rais cha kufanya.Mngesubiri watu waape kwanza ndiyo myaseme hayo kama kusingekuwa na mabadiliko yeyote.Tuwe tunajipa muda kabla ya kushupalia mambo madogomadogo. Kama katiba imevunjwa ipelekeni MOI ikaungwe upya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.