Natabiri kususwa, kutengwa kwa Magufuli na kudidimia kabisa kisiasa ifikapo 2020

Naomba nitumie lugha laini na nyepesi kwa wote mlioko ndotoni kuwa magufuli atakosa uungwaji mkono 2020 kutoka kwa Watanzania wengi kuwa ni WAKUPUUZWA. Mwaka 2020 magufuli anaenda kuwa raisi kwa kuchaguliwa kwa asilimia 90 ya wapiga kura.
wajiandae kisaikolojia na AKIMALIZA TUNAMUONGEZEA.

Mungu tupe uhai mrefu ili hawa watu wauone ukuu wako.Amen
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo

Labda umuombe shetani. Maombi haba hayo. DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo
Hata Mimi nikekuombea kwa mungu UTAKUFA KABLA YA 2020
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo
nami naomba mungu atuondolee hii kitu
 
Upinzan UPI utakaomshinda maguful? Huu wa kugombana wao kwa wao? Eti caf lipumba na caf maalim seiph watu bhana wa ajab sana hata vyama wanagawana saiv tena inaibuka chadema mbowe na chadema lowasa
 
Watz hawa hawa au wapo wengine!!!! mimi nilichokiona mwanza, musoma, kahama na baadhi ya maeneo nchini mwetu Oct 2015 sitaki hata kuamini mpaka sasa!!

Mkuu mtz ni mnafiki kwa kiwango cha juu kabisa mnafika/kushuka/kupita sehemu unasema eee sasa tunashindwaje kuchukua nchi!!! ukitoka tu utasikia ccm ndo imetulea mpaka unatamani utembeze bakora, yaani hata kama amelala njaa siku hiyo kesho yake anakuja kwenye mikutano ya kampeni utasikia ccm ndo imetulea!!!!
 
Madhara ya kushindia maharage na chapati za tandare lazima uote ndoto chafu kama hizo mkuuu.
Pole xaanaa. MAGUFI JEMBE 2020 HANA MPINZANII. HATA UPINZANI UKIUNGANA HAUTAWEZA ZIMA MOTO WA MAGUFULII.
ATASHINDA KWA 99.9% haaaa haaaa
Elimu ya hapa na pale uzalisha vyeti feki
 
Sioni upinzani wa kweli ktk nchi yetu kwa sasa, kama ilivyo caf naona kuna chama kingine maarufu cha kaskazini kabla ya 2019 nacho kitakuwa na pande kadhaa na zitapigwa ngumi kwenye mikutano yao kabla ya kila mmoja kuchukua wanachama wake wanaomwamini.

Na kila mmoja atatoa siri za mwenzake kwa namna alivyojinufaisha na ruzuku.
 
Usisahau watanzania kwa unafiki tuko juu

Nyerere watu walikuwa wanapanga foleni kununua unga wa Yanga
na bado walilia alipojiuzulu..
Kweli kabisa,si ajabu akina Nape wakawa mstari wa mbele kumnadi 2020.
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo
Sasa mkuu ikiwa hivyo,wewe utapata faida/hasara gani,au unakusudia kutangaza nia?tujipange kabisa kukuskoti na kigodoro.
 
Wenda ni kweli itakuja kuwa ila sio kwa UPINZANI WA MATAMKO MATAMKO.

Wenda utakuja upinzani wa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom