kibunange
Senior Member
- Feb 18, 2015
- 165
- 148
Kufutwa kwa CDA ilikuwa ni agenda kuu kwenye kampeni za mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ndugu Benson Kigaila mwaka 2015. Lakini hata baada ya kushindwa aliendelea kuliwekea mguu kati swala husika na ndio imekuwa agenda kwa madiwani na viongozi wa CHADEMA Dodoma.
Asante Kigaila umewatua mzigo wananchi wako kazi yao ni kutembea kuhakikisha unapita 2020.
Asante Kigaila umewatua mzigo wananchi wako kazi yao ni kutembea kuhakikisha unapita 2020.