Recent content by masaiti

  1. M

    Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

    Akili za magamba zimefikia mwisho kwa sasa. Badala ya kujadili sera za chama, wao kutwa kucha wanamjadili Lowassa na Ukawa. Hebu leteni thread za kujadili sera za vyama ili tuzichambue
  2. M

    Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

    Unapost mwenyewe na unakuwa mchangiaji wa kwanza kwenye post yako....unajitekenya na unakuwa wa kwanza kucheka mwenyewe!!!!!! Tulieni.........
  3. M

    Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

    Nina wasiwasi na source ya hii taarifa!!! Na hasa ukizingatia The author (MsemajiUkweli) is the first commenter of his/ her own post!!!
  4. M

    Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

    Thank you for this analysis, some people are crying now........., this is the time for salvation
  5. M

    Mchezaji wa zamani wa Sigara na Simba Gebo Peter afariki dunia

    Jamani mimi nakumbuka mwaka 1993 nikiwa kidato cha kwanza ndipo nilipoanza kuipenda Club ya Simba. Ilikuwa na wachezaji wazuri sana akiwemo Gabriel Peter aka Gebo Peter. Alikuwa ni namba tisa mzuri sana na alitumia urefu wake kufunga magoli mengi sana. Kikosi hicho kilikuwa na akina Mohamed...
  6. M

    Kagame, Uhuru use IDs to enter Uganda

    Nimefurahishwa sana na hii taarifa. Siyo kweli kwamba Tanzania inakwamisha EAC. Soko la pamoja la EAC linatamka free movement of people, labor, capital, goods, services etc. Nadhani ni jukumu la kila nchi mwanachama wa jumuiya kuhakikisha kuwa wanajumiuya wanaweza kupata hizo free movement kwa...
  7. M

    ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

    Heshima mbele wakubwa, Msidanganyike jaani, barua ya Juni, 2011 hiyo. Wasitudanganye kabisa, wamwambie aandike nyingine...
  8. M

    Airtel mmeamua kutusaliti?

    Hata mimi nimeshindwa kuwaelewa na pia wasisingizie kupanda kwa umeme n.k. Kama kupanda kwa gharama za uendeshaji siyo kwa airtel tuu na kwa watoaji huduma wengine. Walivyoanzisha hizo huduma za siku, wiki, mwezi n.k walitutangazia na ndio maana tukajiunga nao. Sasa wanavyopandisha bila kutoa...
  9. M

    Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    Kumbukumbu za kichwani kwako bila ushahidi ni kazi bure. Tutathibitisha vipi kama ni kweli? Unajihusha hadhi bwana Machange.
  10. M

    Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    Machange, Please provide evidence. Kama huna afadhali kaa kimya, kwani tuna taarifa uko kwenye kundi la 7,000 za lumumba
  11. M

    Katibu wa zamani wa Bunge la Afrika awakosoa CHADEMA.

    Mbowe kuwa Mweyekiti kwa vipindi viwili ambavyo vinaisha mwakani, kelele nyingi sana kuwa CDM haina demokrasia, wakati muda wa uchaguzi mwingine bado. Jana nikamwona Lipumba na nikajiuliza maswali, hivi huyu jamaa amekuwa mwenyekiti wa CUF tokea lini? Mbona yeye kelele hapigiwi? Au kwa sababu ya...
  12. M

    Katibu wa zamani wa Bunge la Afrika awakosoa CHADEMA.

    Mbona Ushauri mwingi wa CDM unatekelezwa na Serikali? Tuanze na Katiba Mpya, hiyo ilikuwa ni ilani ya CDM.... na msuala mengine. Kuna ushauri wa maaana sana huwa utolewa na CM lakini Serikali haitaki kuuchukua. Katika Bunge la baeti, mbona mara nyini CDM wameishauri Serikali nama mbalimbali za...
  13. M

    Taarifa batili kuhusu mimi kusimamishwa uanachama na BAVICHA taifa!

    Pole kamanda, nakuaminia sana na harakati zako za ukombozi. Wewe ni M4C damdam. Nadhani mipango yenu kwa 2013 imekamilika washeni moto sasa!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. M

    Radi: Kabla ya Muungano Wazanzibari hawajawahi kuwa huru!

    Mzee J, heshima mbele Mkuu. Nchi moja kuwa na katiba mbili zipo nyingi. Kuna nchi zina utawala wa majimbo na kila jimbo lina katiba yake. Mifano ipo mingi tuu. Suala la azimio la Arusha kuzimwa Zanzibar watu wengi wanajua. Suala la msingi hapa ni je Zanzibar iliwahi kuwa huru kabla ya muungano...
Back
Top Bottom