Hapo ni kujikusanya wananchi na kuunda jeshi(sungu sungu)au kupiga kura za siri za kuwabaini wahalifu hapo tatizo linaweza dhibitiwa kiasi maana hata wanaofanya hivyo wapo ndani ya jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya wilaya inayoingiza mapato makubwa ni mufindi ila hakuna maendeleo sababu yakuikumbatia ccm,Mie ningeshauri viongozi wa chadema jikiteni kutoa elimu zaidi kwenye hii wilaya ili hata hawa watu wakianzisha maandamano yao uchwara wasusiwe na wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si ndie unatuhumiwa na wananchi uliwasaliti kwa kufika bei upande wa pili,na hujawambia wananchi waliokuchagua ulipewa rushwa kiasi gani leo unatuaminisha Kimbe kuchukua rushwa,acheni kupotosha watu kwa maslai yenu nchi ni yetu sote hii
Inamaana na wafanyabiashara wanavoenda china kununua bidhaa nakuja kupiga bei ya juu ni walanguzi,kwani korosho si biashara kama zilivozingine mtu anatafuta faida ukihisi unalanguliwa si unakaa nazo shambani kwako tu.Hapa kuna watu wanaenda kuumizwa bure tu daa!!Hakika korosho una roho mbaya..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.