Recent content by Masai man

  1. M

    JamiiForums Tanzania Walimu misungwi wageuka ombaomba ni baada ya mishahara ya mwezi may kuchelewa kutoka

    Ukipita misungwi utawaona walimu wanahaha kutafuta mikopo ya dharura kwani hadi sasa hawajapewa chao za may 2013 ccm hoi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi mkoa wa mwanza taabani hawajaripwa mishahara ya mwezi may 2013

    Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha ngwair report ya daktari helen joseph hospital hii hapa

    Du ya gwea tumeyaona sasa kazi kwetu vijana tunaotumia vitu hivyo tunajihatarishia maisha yetu bure dunia tamu bwana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Blackberry

    Inauzwa wapi na watu wa mikoani unaipate mfano mwanza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Papai: Kinga ya ugonjwa wa moyo, saratani

    Asante tupia nyingine tena
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa wapangaji wa NHC kuuziwa nyumba kwa kigezo kuwa wamekaa muda mrefu?

    Hizo nyumba wanaishi wakubwa tu. Mbona walimu hawauziwi nyumba ilihali mwl anapangwa kituo 1 mpaka anastafu kazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ya ndoa nyingi kuchelewa kupata watoto

    Naombeni msaada wenu kwani ndoa nyingi zinashida ya kupata watoto kwa muda mrefu. Dk tatizo nini kwa watanzania wenzetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa na habari kemukemu nifungulie mlango jf

    Nashukru Mungu wa Mbinguni kuwa nitapokewa na wanajf kwa furaha na tutahabarishana habari za ukweli mtupu. Nipokeeni mar
Back
Top Bottom