Recent content by masagati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu za mikopo

    Wote humu JF hakuna mwenye maarifa au kumjua mwenye maarifa hayo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu za mikopo

    Wakuu habari yenu Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia. Natanguliza shukran
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 nataka nichukue pikipiki used ya laki 5 halafu inayobaki nichukue dagaa wa kukaanga wa Mwanza niuze kwa rejareja na jumla

    Pikipiki ya laki tano acha kabisa . Ya dagaa fanya . Pia punguza mipango mingi kwa pesa kidogo uliyo nayo itayeyuka kama upepo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatua 4 Ninazotumia Kumwezesha Mteja Wangu Kuaga Matumizi ya Karatasi Katika Biashara Yake

    Inavutia nitakupa kazi pia ukimalizana na huyo mteja wako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

    Nilisha ifanya miaka 2006–2010 , nilikuwa kwenye matunda per day unapata 20–40 elfu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kutengeneza na Kuuza Sabuni Tukutane Hapa

    Nilianza kununua mashine kutoka SIDO ila sikufanikiwa kuanza uzalishaji ila Bado sija kata tamaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuvalishia godoro lililochanika kitambaa au kure pair GOdoro lililochakaa

    Natumaini itakuwa biashara nzuri , muhimu ni kujitangaza maana inakuwa mpya kwa wateja
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm au email; godfreycyp@yahoo.com
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika secretary

    Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda. SIFA -ajue computer vizuri -awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12. -Awe mwepesi kujifunza -Awe mwaminifu -Aweze kufanya kazi kama team na wafanyakazi wengine . -umri kuanzia 18–45yrs Maombi yatumwe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    200 siyo nyingi mkuu Ukiipata hata wewe utaona hivyohivyo kwenye kuizungusha , Na usichoke kutafuta maarifa na usizarau mawazo ya watu hata kama hana pesa , wewe mwenyewe utachekecha walicho kushauri.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar

    Siyo kweli wengi tu wanapeleka. Ila kama ilivyo kwenye biashara yoyote kuna magumu yake mfano leo mahindi ya Tanga Dar tsh 500–550/ 1kgs yakiwa Dar, ukifanya ulinganifu na wewe umesema Ruvuma 540/1kgs utaona hapo tayari ushindani wa bei unaanza kukuengua. Kikubwa fanya utafiti wa kina utapata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

    [emoji23]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    Habaria moja ya mtu mmoja huko kilimanjaro ana watoto 12, hana nyumba na watoto hapeleki shule. Anaomba kusaidiwa kulea watoto na kusoneshewa. Kuna mahali serikali itamke ukomo wa kuzaa kulingana na uwezo vinginevyo baadhi wanatesa watoto. Wenye watoto wengi wanaamini wenye watoto wachache...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka wanalouza masweta

    Uhitaji ni Pcs ngapi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

    Mwenzio anaomba Ushauri wewe unaleta ramli kuwa kaiba serikali! Acha kukariri unaona kila mtu mtaji anaupata kwa kuiba?
Back
Top Bottom