Recent content by masagala crew

  1. M

    JamiiForums Tanzania 1500 years Old Bible found in Turkey

    Tutajuaje imeandaliwa na mpinga Kristo. Hebu tuache siye na imani zetu. Fuata imani yako. Kwa hili hatuhitaji ushauri wako[emoji57] [emoji57] [emoji57]
  2. M

    JamiiForums Tanzania 1500 years Old Bible found in Turkey

    Fuata yako mkuu. Amini uaminivyo mkuu. Kila mtu na imani yake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Sasa hivi siwezi kumuona daktari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari doctor! Nasumbuliwa na nyama za pua. Nifanyaje kapunguza maumivu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyama za pua kwa mtoto

    Msaada jamani. Naweza kutuliza vipi maumivu/kero ninazopata kwa kuwa na nyama za pua? At least kwa muda maana nilipo siwezi kumuona daktari.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Me mutuuuuus big up Hebu muulize hao bodaboda woote wanaom support el wamefika nchi zipi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

    Kuna wife Wa mtu alikuwa akimuibia mumewe hajui mume kustuka millions hakuna kwenda benki camera mkewe live bila chenga.. Wife alikuwa akijenga nyumba sasa hubby kanuna majina ya mkewe. Shughuli.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

    Lol Ana mwingine huyo hiyo ni kawaida ya wanaume best..kipya kinyemi. Unaweza ukaumwa wala asijali..hata kukujulia Hali hata text unaendeleaje. Kumbe kapata kimwana mpyaaa. We muombe Mungu km wako atakuwa. Hili swali muulize Mungu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kufunga Barabara kwa shughuli binafsi

    We acha...me siku hiyo nakuta mtaa Wa Yombo barabarani imefungwa..nkauliza vijana ni Sawa kufunga mtaa sababu ya maulid? Wanasema wana kibali..sasa je ni Sawa kutoa kibari kufunga mtaa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake amlindaye

    Amina amina amina
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Polisi wetu huu ni uzembe au ni kufanya kazi kwa mazoea?

    Mbona kwangu picha haipatikaniiiii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaotumia PAD moja siku nzima badilikeni, ina madhara

    eeeeh? inawezekana kwelii??au me nna tatizo jamaani...moja haimalizi two hrs...imejaaa sasa siku nzima?hapana haifai.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walaji wa Apples, mahindi ya kuchoma na karanga

    me nkitamani sana muwa nakaa pembeni kwanzq ya muuzaji mbali kidogo..nimuone anawekaje miwa yake paktini..wengi siku hizi hawapulizi..wanavaa vimifuko kisha wanashika miwa huku wamevaa vimifuko laini na kuipikicha mifuko ili waweke miwa pasipo kupuliza. big up wauza miwa wa aina hiyo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walaji wa Apples, mahindi ya kuchoma na karanga

    ni kweli aisee..hatufikirii mbali ktk hili.
Back
Top Bottom