Tuwalaumu wabunge kwn wao ndio kisheria mikataba yote lzm ipitia pale na wao waijadili waone kama inafaa kupitisha,lkn wao ni watu wa ndio tu ukisema hapana kama walivyokuwa wanafanya (ukawa)mnaonekana hamlitakii mema taifa,onna wanaolitakia mema taifa
Kwa mwz.kontena 3000 mara mwaka,mara miaka...
Mungu kwa upendo wake awapa mali na wao bila kujua kuwa wayafanyayo sio sahihi hawakukoma wakaendelee kuyafanya,alitokea msamalia mwema akawauliza ni kwa nn unafanya hayo?(lissu)wakamwambia hayakuhusu,tulipata bure tunatoa bure.
Lissu,akawauliza tena mnajua mfanyalo,wakamjibu hata tukijua ww...
Huwezi kumpata mke mwaminifu kwa vigezo hv,awe mweupe awe na 19/25.Watakupigia wengi sana najua muda si mrefu utatutumia tena yatakayokusbu.Nakuonea huruma mdogo wangu sehemu za kupata mw.mke sio humu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.