Recent content by Marymariemary

  1. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

    Kaka samahani, naomba namba yako nukuulize swali kuhusiana na zao hili kwasababu Mimi pia npo kwenye harakat ya kulima zai hili
  2. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Arusha sehemu gani Kaka?
  3. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Sanya Juu/Siha

    Nahitaji sanya
  4. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Sanya Juu/Siha

    Kipo Sanya?
  5. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Sanya Juu/Siha

    Habari zenu wanaJF, natafuta Kiwanja 20 kwa 20 sehemu ni Sanya juu/ SiHA stendi au mbali kidogooo na stendi. Naomba uje na Bei yako then tu'negotiate.
  6. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

    Wow! Umenitia moyo
  7. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

    Nimependa ushauri wako kaka, Mungu akubariki
  8. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

    Anyway! Asanteni kwa ushauri wenu, kwa walionishauri mazuri Mungu awabariki na hata hao wengine walionishauri kinyume nawashukuru pia, Ila nimegundua kweli uzinzi umepewa kipaombele Sana kwa nyakat hizi. Nyie mnaosema hamuwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia, endeleeni tu kuwachezea mabinti wa watu...
  9. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

    Utasubiri Sana 😂😂😂😂 hakuna naetaka kuchezewa hovyo na kuachwa
  10. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

    Duh! Kuna watu wananivunja moyo jamaniii, huo ndo msimamo wangu siwezi badilisha. Mnataka nigawe nionjwe alafu mtu akuoi unaachwa na mimba juu akuuh! Sitaki. Najua Mungu haaibishi hata kidgo ukimuomba mkate hawezi kukupa jiwe Wala ukimuomba samaki hawezi kukupa nyoka. Anajibu kwa wakat...
  11. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

    Mimi mi binti wa miaka 24 kila nikimpata mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano huwa najua ndo mume wangu kumbe sio mtu sahihi wa kuitwa mume. Nimeshakuwa kwenye mahusiano Mara ya Pili Sasa.. Unakuta naanzisha mahusiano na mtu vizuri tu ila akishanitajia sex basi simtaki Tena, nilijiwekea msimamo...
  12. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote kikubwa maslahi

    Habari zenu wadau! Naitwa Mary nipo Arusha kwa morombo, natafuta kazi Nina diploma ya Airticketing ikikosekana hiyo Niliyosomea basi nafanya kazi yoyote ile Kama vile kuuza duka la aina yoyote, kiwandani, supermarket n.k au yoyote ile kasoro zile zisizompendeza MUNGU... jamani wapendwa wa Arusha...
  13. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza duka

    Kzka Kaka nipo Arusha-morombo, Kama hutojali naomba hiyo kazi
  14. Marymariemary

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi Ulinzi,Hotel Porter,Cleaner au Kuuza duka

    Nipo Arusha, niunganishe na huyo wakala wa ajira Please
Back
Top Bottom