Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi Ulinzi,Hotel Porter,Cleaner au Kuuza duka

Poluyakhtov

JF-Expert Member
May 9, 2017
353
296
Habari za muda huu wanajukwaa.
Kama kichwa kinavyojieleza,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,Elimu yangu ni kidato cha sita,natafuta kazi yoyote kati ya hizo nilizoorodhesha hapo juu.

Nipo Dar eS Salaam.

Nina uzoefu usiopungua miezi 8 wa kufanya kazi ya Ulinzi na kubeba mizigo katika hoteli hapa mjini.

Kama kuna fursa yoyote naomba unitafute.
 
unaumri wa miaka mingap?
 
mpgie huyu ni wakala wa kuajiri kwa kazi kama hizo yupo Arusha
 
Habari za muda huu wanajukwaa.
Kama kichwa kinavyojieleza,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,Elimu yangu ni kidato cha sita,natafuta kazi yoyote kati ya hizo nilizoorodhesha hapo juu.

Nipo Dar eS Salaam.

Nina uzoefu usiopungua miezi 8 wa kufanya kazi ya Ulinzi na kubeba mizigo katika hoteli hapa mjini.

Kama kuna fursa yoyote naomba unitafute.
Kama upo serious nitafute kwa simu tupange mipango. Ila Ni wa kufanya kazi ya kuuza duka kwa mkataba maalum.0713321192.
 
Back
Top Bottom