Nahitaji kiwanja Sanya Juu/Siha

Nahitaji kiwanja Sanya Juu/Siha

Marymariemary

Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
16
Reaction score
28
Habari zenu wanaJF,

natafuta Kiwanja 20 kwa 20 sehemu ni Sanya juu/ SiHA stendi au mbali kidogooo na stendi.

Naomba uje na Bei yako then tu'negotiate.
 
Sanya Juu kuna vile vya Halmashauri nafikiri bado wanauza.
 
Watafute Kambele investment wana ofisi zao hapo Boma N'gombe ni jamaa fulani wako vizuri kwenye shughuli hiyo.
 
Watafute Kambele investment wana ofisi zao hapo Boma N'gombe ni jamaa fulani wako vizuri kwenye shughuli hiyo.

Ok, kuna kipindi nilisikia wamedhumu viwanja kule Arusha. Sijui kama wapo vizuri
 
Mimi pia natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo ya HIMO au Marangu mtoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom