Natafuta kazi ya kuuza duka

Natafuta kazi ya kuuza duka

Nashon daniel277

New Member
Joined
Aug 18, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Kwa majina naitwa zabron Daniel ni mkazi wa Dodoma ni mhitimu wa kidato cha NNE natafuta kazi yoyote ile ila Mimi ni mzoefu wa kuuza duka, namba yangu ni 0765822914. Asnte Mungu awe nanyi.
 
Usijali utapata Ungekuwa Arusha ungepata nmefungua Duka I nnaprefer mwenyeji wa Arusha inakuwa rahisi kumfanyia vetting siunajua Watu uaminifu umepungua sana.USIKATE TAMAA
 
Kzka

Kaka nipo Arusha-morombo, Kama hutojali naomba hiyo kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom