Recent content by mary moses

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    asante mana watu wanaropokwa tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Yani iyo nipoa kabisa mana walizidi kujifanya miungu watu wengine walikuwa wana sinzia wakisubiri kupiga makofi tu na posho wanapata kwa hali hii wataenda watu wenye uchungu na nchi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Nakuunga mkono tz bado tuko nyuma watu wanaweka uchama mbele kuliko maslahi ya nchi inauma sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea ITV sasa, wapo sahihi kweli?

    Atakujaje wakati anajua walilolifanya kwa wanacho sio sahihi wangekuwa wameshinda wao wasingefuta matokeo mkuki mtamu kwa nguruwe tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea ITV sasa, wapo sahihi kweli?

    Ntakupa like TV nyingine zinafanya kazi kishabiki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kinana yuko wapi na wakuu wenzie, wamuondolee January majukumu haya

    Umeona ee nakuunga mkono wasitupotezee muda kuungua juani wanapoteza ela kuandikisha watu kumbe wao walishajua juwa matokeo yao inauma sana kuwaonea waazanzibari hawaeshimu matakwa ya wananchi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtikila ataka iundwe Tume kuchunguza kifo cha mumewe, Lowassa, Sumaye na Mnyarwanda watajwa

    Yani hawajielewi kabisa sa ivi wamemgeukia mjane wa nyerere wamemjazia maneno ampigie magufuli kampeni kuna tangazo linarushwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hasa vijana wanataka bora mabadiliko

    Hayo ni maneno yako kama wewe wazazi wako walipata neema ukaweza kuwezeshwa hata mtaji ukajiajiri huwezi kuichukia serikali ila hamu ya vijana ni serikali kuweka mfumo rafiki ambao utawezesha vijana kupata kazi mfano idara ya kilimo pembejeo zingekuwa wanakopeshwa angalau baada ya miaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Geita Jimbo la Busanda, Wazee wamsimika Lowassa Uchifu wa Wasukuma

    Na nyie mnao tanguliza fiesta hamjioni na hao wanao jiiita timu bajaji kwenda kuwahadaaa wamama wawatu ambao wanakuja kusota miaka mitano wao wakila bata dar iyo ni halali au ndo siasa zetu za bongo wajinga ndio waliwao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Kama nikweli yuko safari c waseme ni ya mda gani na kama amerudi ajitokeze atuambie yuko futi mana I serikali haiaminiki na ckuzote njia ya mwongo fupi kama wao wamemchoka c bado tunampenda kama ni uzushi atokee yule bro alokamatwa aombe msamaha hadharani akiwa na mamnyange ndo Nita amini
  11. M

    JamiiForums Tanzania NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Ndo mana wanatuona c wajinga mtu anajali tumbo lake na familia yake anasahau kwamba yupo kwa niaba ya wengine wanakazana vijana wajiajiri kama mzazi wako hana uwezo utajiajiri vp ndo mana tunaambiwa Tanzania co kisiwa cha amani Bali cha uvumilivu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maisha bora kwa kila Mtanzania: A reflection from Maternity ward

    Hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania pengo limezidi kuongezeka kati ya masikini na tajiri hao viongozi hakuna ambae atampeleka mwanafamilia yake kwenye hizo hospital
  13. M

    JamiiForums Tanzania NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Asante yani watu wengine wanakera sana ukweli wanaujuwa ila wanajitia upofu iyo ajira ya serikali yenyewe kuipata jasho linakutoka unaweza sota mtaani ata miaka 2 viwanda vya serikali vimekufa vingi ni magodaun
  14. M

    JamiiForums Tanzania NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Kuna uyu mtu anajifanya yeye anajuwa kutumia fursa ivi mtoto Wa mkulima aliyesoma kwa shida mlo Wa familia kwa cku ni janga hata akimaliza chuo kwa uo mkopo Wa serikali atajiari VP bila kuwezeshwa au ndo akalime kwa jembe la mkono we kama wazazi wako Wa Lumumba ucfikiri izo dili zenu zinafika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA watapatapa...

    Mtahangaika sana kutoa habari zisizo na tija ila ukweli utabaki palepale
Back
Top Bottom