UKAWA watapatapa...

UKAWA watapatapa...

Mazishi ya maviccm bado ciku 23. Jembe na nyundo tutaviweka makumbusho.watoto wetu wajue tz ilitawaliwa na hwa majizi
 
Haishi kutapa tapa, yaan kam mbowe ndo hanaga cha kuongea yy kila cku anadili na 2me ya uchaguz
 
Na duni muda si mrefu anaitisha mkutano kujitoa
 
Utaishia hivyohivyo hujui kama unaongea na Engineer, Mi sina njaa ndogondogo kama zako.

Kama maengeneer ndo ww
Unaedanganywa kila rahisi na lowasa na unamuamin

Nitaendelea kuagiza mainjinia kutoka nje kuliko ww
Na ndo maana magorofa yanaanguka kariakoo

Narudia tena
Hivi na ww n injinia?
Na unaamin mabadiliko atayaleta lowasa?

Kama ndio
Na mm nahitaji huo uchaw anaotumia lowasa
 
Mazishi ya maviccm bado ciku 23. Jembe na nyundo tutaviweka makumbusho.watoto wetu wajue tz ilitawaliwa na hwa majizi

Ww unaonekana unatumia kiroba kikali zaidi ya bodaboda wote wa pale stand
Maana umeongea kitu ambacho hakipo kabisa na ni ndoto ta abunwasi
Utakuwa unatumia kiroba kimoja kinatoka uganda kinaitwa"empire"
 
UKAWA MBONA WANALIALIA??
Kuli kukicha hawa jamaa hawakosi sababu!Kutwa kutoa malalamiko wanaonewa,raia akihama ccm kwenda ukawa basi huyo amefanya jambo jema,ila akihama ukawa kwenda ccm basi ni tatizo,ccm wakijaza watu ktk kampeni utasikia wamesombelewa,ila wao wakijaza basi ni sunami,gazet likiandika mazuri ya ccm basi limenunuliwa,ila likiandika ya ukawa hilo ndo gazeti makini!!Ipo mifano mingi tu!!NAJIULIZA UKAWA MBONA WANALIALIA KWANI WAMEJIPANGAJE??
 
sio ukawa... hii ni kwa vyama vyote vya siasa popote... kumbuka watu ndo chama kama wakiondoka au kuhama unafikir chama kitakua na maana gan tena??? kwahyo hayo uyaonao ni ishu normal kwa vyama vyote.. na ndo maana utasikia»»» hao wamenunuliwa, hao hawajitambui, hao makapi, hao malofa na wapumbavu n.k ... so hyo ni ishu ya kawaida tu wala usiogope... we shall meet octer 25" changes needed.
 
UKAWA MBONA WANALIALIA??
Kuli kukicha hawa jamaa hawakosi sababu!Kutwa kutoa malalamiko wanaonewa,raia akihama ccm kwenda ukawa basi huyo amefanya jambo jema,ila akihama ukawa kwenda ccm basi ni tatizo,ccm wakijaza watu ktk kampeni utasikia wamesombelewa,ila wao wakijaza basi ni sunami,gazet likiandika mazuri ya ccm basi limenunuliwa,ila likiandika ya ukawa hilo ndo gazeti makini!!Ipo mifano mingi tu!!NAJIULIZA UKAWA MBONA WANALIALIA KWANI WAMEJIPANGAJE??

Hao wanajua wameshindwa tayari.
 
Lazima watafute sababu,washajua hali mbaya kwao
 
UKAWA MBONA WANALIALIA??
Kuli kukicha hawa jamaa hawakosi sababu!Kutwa kutoa malalamiko wanaonewa,raia akihama ccm kwenda ukawa basi huyo amefanya jambo jema,ila akihama ukawa kwenda ccm basi ni tatizo,ccm wakijaza watu ktk kampeni utasikia wamesombelewa,ila wao wakijaza basi ni sunami,gazet likiandika mazuri ya ccm basi limenunuliwa,ila likiandika ya ukawa hilo ndo gazeti makini!!Ipo mifano mingi tu!!NAJIULIZA UKAWA MBONA WANALIALIA KWANI WAMEJIPANGAJE??
nadhani ,Kauli za baadhi ya viongozi wa chama tawala nazo zinachangia mfano tutashinda hata kwa bao la mkono, mara ccm haitakuwa tayari kuachia madaraka kwa chama pinzani kwa namna yoyote ile na kauli nyingine nyingi kama hizo.
 
UKAWA MBONA WANALIALIA??
Kuli kukicha hawa jamaa hawakosi sababu!Kutwa kutoa malalamiko wanaonewa,raia akihama ccm kwenda ukawa basi huyo amefanya jambo jema,ila akihama ukawa kwenda ccm basi ni tatizo,ccm wakijaza watu ktk kampeni utasikia wamesombelewa,ila wao wakijaza basi ni sunami,gazet likiandika mazuri ya ccm basi limenunuliwa,ila likiandika ya ukawa hilo ndo gazeti makini!!Ipo mifano mingi tu!!NAJIULIZA UKAWA MBONA WANALIALIA KWANI WAMEJIPANGAJE??

Wanatafuta huruma ya wananchi mbna hyo kwao kawaida
 
UKAWA MBONA WANALIALIA??
Kuli kukicha hawa jamaa hawakosi sababu!Kutwa kutoa malalamiko wanaonewa,raia akihama ccm kwenda ukawa basi huyo amefanya jambo jema,ila akihama ukawa kwenda ccm basi ni tatizo,ccm wakijaza watu ktk kampeni utasikia wamesombelewa,ila wao wakijaza basi ni sunami,gazet likiandika mazuri ya ccm basi limenunuliwa,ila likiandika ya ukawa hilo ndo gazeti makini!!Ipo mifano mingi tu!!NAJIULIZA UKAWA MBONA WANALIALIA KWANI WAMEJIPANGAJE??
Tatizo mkuu wengi wao ni malofa wa kufikiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom