Kinachokusumbua wewe ni nn, mwamme MTU mzima unaleta habari za sura zina faida gani sasa. Humu tunataka mada zinazojenga na siyo mawazo yaliyopitwa na wakati kama haya ya kwako. Tafadhali hata ungekuwa mwanamke kidogo ningefikr uko sokoni unatafuta mwanaume sasa kweli jamani gentleman unatueleza...
Nakumbukia siku Mh rais anakabidhiwa kofia ya chama nanukuu"ng'ombe akikatika mkia hazuiwi kuingia zizini ila wenzake wanafahamu kwa hayuko sawa na wao" sasa huyo jamaa lazma apigepige kidogo ili asikike hapa kwetu ila hana chake,
Safi sana kiongozi, hakika hili ni jambo kubwa sana umefanya. Nikusihi uwe na moyo huohuo wa kuondoa mikanganyiko unapokuwa imetokea mahala kama hapa. Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.