Du, ndugu hili ni tango pori,kwa maelezo yako tokea mwanzo unapoteza watu, nina maswali kidogo,je ndege inashusha na kupakia wapi abiria? Je,ndege inapokuwa inapakia abiria hakuna majengo? Je, ndege ikakiribia runway rubani akapata taarifa kuwa kuna ndege nyingine inatua inazimwa au inakuwa...