Recent content by Martrix_32

  1. Martrix_32

    Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

    🤣😅😅😅
  2. Martrix_32

    Ni stori ipi ipo nyuma ya hio picha uliyoweka kwenye handle yako?

    mara chache mida ya jioni ninapenda kukaa sehem tulivu, kaupepo kwa mbali kurefresh mood/peace of mind !
  3. Martrix_32

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    hakika !
  4. Martrix_32

    Nataka kununua shamba kwa wakwe

    acha na hilo eneo linaweza kukuletea risk, unaweza nunua sehemu nyingine tu !
  5. Martrix_32

    Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

    Hahahaaaa 🤓🤣 Eti na ya kutolea, mzungu kweli hakupata mtu sahihi, na sister alimwona kama Dewji !
  6. Martrix_32

    Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

    inasikisha sana ! anakupiga unampa na ya asante 🤓😂🙌
  7. Martrix_32

    Binti wa miaka 15 mwenye uraibu wa dawa za kulevya

    Labda vyakula maana kwao wako normal tu maza enyewe mwembamba atar
  8. Martrix_32

    Binti wa miaka 15 mwenye uraibu wa dawa za kulevya

    kuna mtoto nlimwona nkashangaa, af naambiwa ana miaka 12 kwa kukadiria nilijua ni 17,18+ yan mrefu + kunenepa 🙌
  9. Martrix_32

    Binti wa miaka 15 mwenye uraibu wa dawa za kulevya

    hakika, ndio maana unakuta mtoto mdogo ana presha, ugonjwa wa moyo,.... n.k
  10. Martrix_32

    Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

    aisee [emoji851][emoji28]
  11. Martrix_32

    Wanawake hawajilindi na UKIMWI kama ilivyo kwa Wanaume

    ukiskiskia kubebwa na maafriko ndo hii[emoji3]
  12. Martrix_32

    Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    duuh, inasikitisha sana,..... uaminifu kwenye ndoa unaporomoka kila leo !
Back
Top Bottom