Wizi uliyopaa katika awamu yake umesababisha
Umasikini mkubwa kwa raia
Vijana wasomi kukosa ajira
Ukosefu wa madawa hospitalini
Hakika ni shuja aliyetukuka katika kivuli cha wanyonge na wajinga wakitanzania
😀 Kunguni wansagwa upande wenu Sasa, hakuna atakayekuwa na furaha ya kudumu. Ngojaaa na sisi waungwana na wenye mapenzi ya kweli na nchi tufurahi na kuindeleza nchi katika mising ya haki na usawa, nyie kaeni pembeni muone maajabu ya mungu.
MATAGA wako hoiiiiiiiioiooo
Kumbe ana-asili ya .... Sasa kama unajua hilo kwanini unakataza watu wasiulize?? Hata Obama alihojiwa akajibu Wala sio dhambi. Una povu mpka linamwagika
Ni vema ungejilidhisha na kujikitaa kutoa maana halisi ya neno Mnyonge ila sio kutoa upuuzi huu.
Mnyonge anaweza kujitafutia chakula?
Mnyonge anaweza kulipa kodi??
Mnyonge anaweza kumlipa mshahara mtu
ambaye anamwita mnyonge?
yaani serikali inatengenezea watu mifumo mibovu tena kandamizi ili...
Watu hatuwazi Wala kulaumu ununuzi wa ndege, tunachohoji mbona tulikuwa tunaambiwa shirika limepata faida na kutoa gawiwo kwa serikali lakini kumbe linaendeshwa kwa hasara kubwa, je huko kurudisha ilikuwa n mradi wakutudanganya ili watuibie kwakisingizio hicho??
Hamna awamu iliyojaaa madudu na...
Eheee sio CCM ya jpm?? yaani Jpm kaimarisha CCM ipi?? Amewahi kuwa hata mwenyekiti wa tawi la CCM??, Au namna ya ujengaje wa chama siku hizi nikuwanunua kina wapinzani.?? Wenye chama wanakitaka nyie CHAWA wa burigi mfuateni mwendazake.
Hakika inawezekana Mama Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan aliishi katika Umakamu wa Rais pasipo kuheshimiwa na walio chini yake! Hawa watu leo wanajisiakiaje.
Twende hivyo hivyo. Nimepeni majina yote. Mimi nitaomba niingie huko. Nikiingia, hao mawaziri wanaojibu ndivyo sivyo, tutajuana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.