MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 590
Nadhani research yake ndio ilimplekea kufikiria corona utashinda kwa kufusha na kula miti shamba.... 🤷♂️Rais John Pombe Magufuli alifanya vitu vingi kwa research na sio kwa hisia
Tanzania ilijizolea umaarufu hasa nje ya nchi pale ilipopinga kukusanya takwimu za ugonjwa huu. Tulikuwa miongoni mwa nchi 2 duniani pekee ambazo ziliamua kutumia njia za kienyeji. By the way hii haikuwa sifa nzuri ya kupigia kifua!