Recent content by marrykate

  1. marrykate

    Battle: Matonya Vs MB Dog

    inasikitisha walijua kutubururdisha sana hawa watu. yaani wote walikuwa wakali sana
  2. marrykate

    Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

    waeleweshe kabisa, kuna mmoja huku yeye kutwaaa anapiga simu, wakati hata chakula cha kuwapa watoto nyumbani hajaacha.
  3. marrykate

    Mliooa kwenye familia za kimasikini na wewe mwenyewe masikini tupeni mbinu

    H huyu atakuwa alijipendekeza mnooo. yaani mimi kuna wifi huyo baada tu ya kufunga ndoa eti ananitumia message nimtumie 1m. nikatuma ya message ya kumnyima. bahati nzuri haikuwa delivered maana niliandika kwahasira. Hajawahi kuniomba tena. yaani nisimpe mama yangu hela. nije nikupe wewe wifi...
  4. marrykate

    Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Nyege zinakusumbua, tupishe mbaliii
  5. marrykate

    Ushauri wa mazoezi na diet

    acha kula wanga kabisa na sukari kwa mwezi mzima mazoei kidogo tu sio yale ya kujichoshaaa, utanishukuru baadae. mimi nilianza rasmi diet may 2021. kufikia October nikapungua 15kg. nipo na maintain nao. nilikuwa 104kg sasa 89kg. niataanza tena baadae.target 80kg kula proten za wanyama kula...
  6. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    hivi hizi mambo za kugongewa mnazitoaga wapi? yaani hata huwa siwaelewi yaani kwamba sis wanawake tuna nyeeeeeege mda wote, kila me anaetukaribia anatuvua
  7. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    mnawatoaga wapi wa hivi
  8. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    mafuta, mi nashangaaa kwa nini havipendi
  9. marrykate

    Arusha: Mfanyabiashara wa Madini auawa kinyama na mwili wake kukutwa kwenye shimo la choo

    JIRANI YANGU ALIZAA NA MIAKA KUMI NA NNE, BINTI YAKE YPO CHUO KIKUU, WAKITEMBEA WOTE UTASEMA MTU NA MDOGO WAKE, ANA WATOTO SITA HUWEZI AMINI MWILI WAKE
  10. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    duu, na watoto wanne akaenda kuolewa tena!!!!. hapo nimeamini ulikuwa umeoa jini
  11. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    mawazo mgando ndo maana ndoa imekushinda. shughulika na afya ya akiliyako kwanza kabla hujaanza mahusianoo mapya. hakuna binadamu alie tayari kuburuzwa, watoto wako ukiwamistreat wanaenda zao kitaaa kuwa machokoraaa, sembuse mke mwenye option ya kuolewa tena , ana kujishughulisha akawa na...
  12. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    wanaume wanaume hawajasoma hiii post.wanavyopenda kua budiwa na kutreat wenzao bila huruma
  13. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    hivi nyie wanaume ukilala na mwanamke mwingi unakuwa unafanya kumkomoa mke wako au vile tu kidudu kimewasha. yaani utumie dhana zako mwenyewe halafu akili yako ikuaminishe kuwa unamkomesha mtu. mpyuuuu hamtuji vizuriiii
  14. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    wanajisahaulisha tu hawa. kwanza akitoka amechoka kazini hata kitombo hatoi anasema amechoka sembuse kuanza kuosha vyombo, kupiga kudeki sijui kufua. pyuuuuu
  15. marrykate

    Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    huyu mkeo mvumilivu sana, huwezi pat mwingine kama yeye hicho kipigo kwa miaka 15 alikivumilia kwa sababu zipi yaaani. can you please list them. ni kitombo tu au nini mapaka akawa tayari kufia hapo kwako.
Back
Top Bottom