Recent content by Marry Ngowi

  1. Marry Ngowi

    The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

    mada nzuri , inahitajika time frame ya kukamilisha miradi kama hii yenye tija kubwa. siku SGR ikifika Mwanza na Kigoma ni siku ya kihistoria kwa bongo! penye nia pana njia! wakope kokote kiasi chochote reli iishe pesa itarudi tu! hata wajukuu wakilipa si tatizo! vitu viwili tu hupaisha uchumi wa...
  2. Marry Ngowi

    Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

    Kiongozi umesahau hao marais mababa na watoto wao ni huko visiwani bara hatuna huo utamaduni wa monarchy! hata huyu alieko visiwani angetaka urais bongo labda angetoswa! soma stages of human development and evolution of man utaelewa!!bahati mbaya wenzetu bado wako nyuma kidogo upstairs!
  3. Marry Ngowi

    DC Kihongosi ambana Mbunge Gambo "usitetee hoja inayovunja sheria"

    Gambo ana hoja kubwa jamaa anaishi kwa kuangalia reality , watu maskini waishi kimaskini huyu ni Genius!! ukiangalia kwa makini utaona logic ya bajaj na bodaboda kubeba watu wanne versus usalama wao!! ameangalia watu wengi ni masikini wakichanga nauli wanapata usafiri badala ya kutembea...
  4. Marry Ngowi

    Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    kama usemayo ni kweli basi mnyampaa kwisha habari yake!! uzunguni wabaguzi mno kazi zetu watu weusi ni manual tu hata uwe na PhD, bila msuli huwezi kula!! sasa jamaa ni mlemavu hawezi kubeba box huyu ataishi kwa upweke sana ndani kwake tu mda wote tena kwa pesa ya manispaa tu yenye masharti...
  5. Marry Ngowi

    China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    Katika bizness nchi tajiri kukubali ombi la nchi masikini ni rahisi maana na wao wanaweka masharti au mahitaji yao! Afrika ni soko kuu la Mchina wanatuhitaji sana na pesa za miradi watatupa kiasi tunachotaka tukiomba ila baadae sote tunajua kifuatacho, Wachina watatukamua pesa zao zote...
  6. Marry Ngowi

    Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

    Kuna difference ya umaskini wa nchi versus umaskini wa watu, difference ya infrastructure development (Magu) versus human development (Mkwere) ambazo zina uzito sawa japo ni vizuri nchi kuanza na Magu style, kuna athari tofauti katika political economy theories tofauti mfano kati ya socialism na...
  7. Marry Ngowi

    Kwanini Freeman Mbowe anasemwa vibaya mara kwa mara?

    DJ ni illiterate hana kitu kichwani ni zero brain kafeli exams zote hakuna ajuae kasoma nini na shule gani na sote tunajua DJ ana athari za matukio yake ya kuscratch CDs na kushuka chini na kuingia kufanyiza mule ‘members only’ kule Bills basi DJ iweje leo ghafla awe na akili ya kusema mambo...
  8. Marry Ngowi

    Hivi ni kwanini Serikali hii inawafanyia hila mbalimbali wagombea wa upinzani kwenye chaguzi zinazoendelea nchini?

    hawawezi kumshika huyo mtu milele bila yeye kujitaja otherwise wachukue vifaru na kulipua ofisi za twitter huko US na kuwateka staff ambao nao bado watakufa bila kutaja identities za wateja wao, wazungu hufanya wanachosema ni tofauti na sisi! dawa ni kumzodoa tu kigogo na kujibu hoja zake kwa...
  9. Marry Ngowi

    Magufulification of Africa, kauli iliyo hai Covid-19 inaprove hii fact.

    Yanga tena? Yanga ipi ? ya Msola? Manji, Gulamali , Morrisson au Akilimali? jikite kwenye mada mkuu Yanga nyie si mlimchukiza Akilimali akavua kofia akaweka juu ya meza akasema mtajuta na mkafungwa goli 5 na Simba mkalia nchi nzima miaka mia sasa?
  10. Marry Ngowi

    Nini kifanyike kuwalinda wanafunzi na maambukizi ya Corona baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    shuleni kuna waalimu na waalimu tunajua ni watu makini wa kufundisha masomo na pia discipline, na hili la Corona watalisimamia vizuri ni bora watoto warudi shule haraka ili tusiue elimu, kupunguza mimba na kurudisha mzunguko wa pesa uliokata kwa mamilioni ya watu kukosa ajira , katika muda...
  11. Marry Ngowi

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    twafa njaa, namuomba sana shule zifunguliwe pliz kwa tamko lake moja tu , dawa za Corona zipo
  12. Marry Ngowi

    Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    kitu kizuri ninachojivunia japo sina pesa mfukoni ni kuwa mwaka jana data za dunia nzima zinaonesha tuliipita Kenya kukuza uchumi and we need to keep it up and keep our strong Presidaa in good health and mood bila yeye tulikuwa nyuma nyuma kila sekta wizi tu!! tuweke target kuwapita Kenya kukuza...
  13. Marry Ngowi

    COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

    sijaelewa link ya Madagasca kujitoa WHO na DJ kwenda ikulu, sorry mkuu je unaweza kufafanua ?
  14. Marry Ngowi

    Je, COVID-19 imedhibitiwa Afrika?

    mkuu ili kujua magnitude ya kitu chochote nakushauri anzia tu ndani mwako kisha na mtaa unaokaa wewe na je tayari umeona mtaani kwako mshazika maelfu wangapi kwa Corona? then unaweza kupiga ramli zako kuhusu mitaa mingine na nchi nzima!! au unafanya kazi ya kuzunguka nchi nzima kukusanya data za...
  15. Marry Ngowi

    Kwa hatua zilizochukuliwa, Corona ingekuepo Watanzania tungekufa tuishe

    katika mada za nyuma niliandika hivi katika vitu vibaya vilivyoua uchumi wetu unaochechemea ni shule kufungwa, namshauri Mkulu aruhusu shule zifunguliwe by June 15 ili tusiue zaidi elimu na uchumi wetu na tuhakikishe tunajikinga na Corona mashuleni kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ...
Back
Top Bottom