Kwanini Freeman Mbowe anasemwa vibaya mara kwa mara?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
5,800
2,000
Mbowe ni mwanasiasa makini sana.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
8,787
2,000
Najiuliza kati ya Wenyeviti wote wa vyama venye usajili wa kudumu hapa nchini ni Mwenyekiti wa Chama kipi anayeongoza kwa kusemwa vibaya?
 

Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
979
1,000
Habari wadau,

Baada ya kumsikia Waitara na Wabunge wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu Chadema kumtupia lawama mwenyekiti Mbowe na ufisadi na kumtuhumu kukiuka katiba ya chama cha hadema na kutumia madaraka vibaya, nashangaa kuona vijana wapambanaji wa Chadema na baadhi ya viongozi wamekaa kimia bila kusema chochote.

Pia, sijui kwanini makamanda hawahoji tuhuma za mwenyekit wao au yale maneno ya sumu haijaribishwi kwa kuonjwa ni kweli?

Au makamanda wanajua hela hua zinaenda wapi so hayo yanayo ongelewa yanaonekana ni porojo tu?

Na kwanini viongozi na Wabunge wanaojitoa Chadema moja kwa moja wanaitwa mamluki au kuvishwa lawama ya usaliti bila kuhoji kwanini wamejitoa ndani ya chama na sio kuanza kusema wamenunuliwa sababu kama kweli Chadema wana viongozi wanaonunulika basi hawastahili kuwa viongozi wa nchi sababu wanaweza kununulika kwa bei Rais na kuuza nchi kwa mabeberu.

Pia, hoja inayotumika kuficha ukwel ni hoja dhaifu sana huwezi sema kama walikua wananyanyaswa kwanini wasiseme wakati bado wapo Chadema. Wanaosema ivyo wanakosa points tetezi sababu wote wamesema kujitoa ilihali bado wako Chadema ndiyo maana waligoma kutokwenda bungeni so walikua bado wanachama na Wabunge lakini wakagoma kwenda bungeni.

Hii inaonesha kabisa kuchoka kuendelea kutumikia sababu huwezi sema wametoka Chadema na kwenda kungine sababu ya madaraka, sio kweli maana wanahama wakiwa wabunge na wanajua kabisa kua wakikosa udhamin wa vyama vyao wanakua sio Wabunge tena, hivyo wameamua kusema tu ukweli.

Pia, baada ya Bunge kuvunjwa nina imani Wabunge wengi wa Chadema watajiengua. Time will tell

Makamanda njooni mtufafanulie hoja.
Cdm wanapenda kujilinganisha na ccm, wamesahau kuwa yabidi wawe tofauti ili kuleta matumaini kwa walioichoka ccm.
Lakini wapi. EL alipokuwa akiandamwa na hoja ya richmond na kushindwa kujitetea/kuijibia hoja ile ilibaki kuwa na nguvu juu yake hadi leo. Mwamba nae kwa tuhuma anazopewa na yeye kuzinyamazia kimya,- walipa kodi tunasema "aha! huyu haya ameyatenda kweli"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Marry Ngowi

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
258
1,000
DJ ni illiterate hana kitu kichwani ni zero brain kafeli exams zote hakuna ajuae kasoma nini na shule gani na sote tunajua DJ ana athari za matukio yake ya kuscratch CDs na kushuka chini na kuingia kufanyiza mule ‘members only’ kule Bills basi DJ iweje leo ghafla awe na akili ya kusema mambo yenye logic na maslahi kwa nchi wakati hana shule kazi anayoiweza ni kuifisadi saccoss yake tu na huyu ni sumu kubwa ni kiongozi wa genge la wakosoaji wapayukaji wasio na elimu huyu hapaswi kabisa kurudi bungeni anakopata jukwaa la kupayuka na kujizolea umaarufu , pesa na nguvu, ni bora wabunge kumi wa chadema washinde uchaguzi hawana madhara kuliko kichwa cha mtu mjinga na mpayukaji, CCM ivunje kabati kampeni inoge atolewe maana kufa kwa nyoka (ufipa) ni nyoka (Dj) kukatwa kichwa!!

wakati ule kijana wetu wa Mlimani akiwa kaiva kisiasa tukiwa jeshi la wasomi wenzake tulimpa support akagombea ubunge wa ubungo na kushindwa tukampa moyo apambane bila kuchoka siku zimeenda amekubali kukaa chini ya akili ndogo za Dj na sasa kijana ‘ madini’ yameisha hana maajabu tena.
 

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,670
2,000
Kiongozi huwa hakosi mapungufu sema kwakuwa amefanya mazuri mengi basis mapungufu sanyingine huvjmiliwa kama yanavumilika...
Hoja zawizi wa Mbowe zipelekwe takukuru kupitia kwa CAG na hatua stahili zifuatwe kuelezea kwenye vyombo vya habari ni woga na mwendelezo was kuchafuana siasa tunazozikataa
 
Top Bottom