Recent content by MARPOL

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bolt's notice for operational changes (Category: cars only)

    Aisee kazi iendelee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anayeuza au kukodisha akaunti ya Bolt

    Kweli hali ngumu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayeuza au kukodisha akaunti ya Bolt

    Umeshapata mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waliofanya Interview ya TPA leo DODOMA

    Cha muhimu ni kuwa na imani maana asilimia kubwa wametoa lawama
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliofanya Interview ya TPA leo DODOMA

    Mtihani ulikuwa masuala ya bandari tu. Kama hujawah fika au kujua kazi za mule basi umeisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waliofanya Interview ya TPA leo DODOMA

    Habari za leo wakubwa Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. 👇 Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Interview TPA (Bandari)

    Tumefikia huko mkuu😄
  8. M

    JamiiForums Tanzania Interview TPA (Bandari)

    Naomba utusaidie custom procedures mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada wanaouza bisi, karanga, Miwa, samaki n.k wanauza hizi bidhaa au kuna vingine wanauza?

    Magomen halmashauri kitengo cha CRDB aisee kuna mlinzi mmoja mwanamke amesimama hatariiii....sometimes unahis unaota
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

    Umeongea ukweli mkuu Huna baya na mtu. Imani tu ndio itaponya
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Ili kama mtu akifunga safari awe anajua anachoenda kufanya na sio blah blah
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

    Irudishwe TIPA
  13. M

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Naomba kuwasilisha hivi kuanzishwa tena kwa TIPA hapa nchini kuna kikwazo cha aina yoyote ile..? NB: TIPA - Ni kiwanda kilichokuwa kikichakata Crude oil ( mafuta yasiyosafishwa ) hapa nchini. Hii najua itapelekea kupungua kwa mfumuko wa bei unaondelea katika sekta ya mafuta. Lakini pia...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

    Unaongea hivi na unakuta upo kwenye mahusiano yako mazuri tu. Kumbe ukija huku unamdhalilisha mwanaume wako indirectly.
Back
Top Bottom