Mbona mbowe hasemi kuhusu kagame? Sote tunajua kagame alivoiunga mkono chadema 2015 lkn sasa kagame naye kawageuka mbona hili hawalisemi wakati sote tunajua kuwa mwaka huu Rwanda pia kuna uchaguzi?. Chadema acheni unafiki.
Huu in upunguani was fikra. Hivi unapoleta barua humu jf unategemea tukusaidie nini?. Au unataka Max ndo akusaidie? .we we unapaswa kupeleka malalamiko yako huko wzrn sio kuleta humu jamii forum. Kwan umeambiwa ukileta humu ndo muarobaini, acheni unyumbu nyie.
Tanzania itakua mbali kiuchumi, miuondombinu na maendeleo kwa ujumla. Hii ni kwa sababu serikali ya awamu ya tank inaendeshwa kizalendo na maslahi ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.