Kinana afanya mazungumzo na balozi wa Korea ofisi za Lumumba

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akutana na Balozi wa Jamhuri ya Korea kusini hapa nchini Mhe Song Geum-Young alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es salaam, leo Mei 29, 2017.



 
Back
Top Bottom