Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi?

Kila siku mnalalamika tu fact hamtoi, Kuna kipindi mlisema haitowezekana na ikiwezekana basi majengo sio imara.. Kelele nyingiiiii
Fact ipi unayotaka wewe. Yaani wewe kwa akili zako unaamini kuwa jengo la ghorofa nne lenye ukubwa kama ule lime cost 500ml?
 
Hata hivyo sidhani kama kulikuwa na haja ya kusema kiasi cha fedha kilichotumika kama hakuwa tayari kusema ukweli. Ukiamua kuwa msemakweli mpenzi wa Mungu uuseme ukweli.

Sikuona sababu ya msingi ya kutaja thamani ya majengo. Idadi ya wanafunzi watakao ishi humo ilitosha kabisa.
Majengo ndiyo hayo na gharama iliyotimika ndiyo hiyo. Shida yako unaumia sana umegimdulika dili zako zilizokuwa zinatuumiza sisi wa vijijini. Tumefunguka na lazima tutakuwa bega kwa bega na mheshimiwa Raisi ili tupate kujenga zahanati, shule na nyumba za walimu na wauguzi kwa bei nzuri.

Pole sana ndugu yangu mpiga dili, sisi wa vijijini tutakuwa bega kwa bega na Mheshimiwa Raisi ili tujenge zahanati, shule, nyumba za walimu , nyumba za wauguzi na nyumba za ofisi za serikali kwa bei safiii kabisa. Nakushauri ufanye biashara nyingine kwa hili tumeshafahamu mlikuwa mnatugonga.
 
Umeshasema wewe sio mtaalamu wa majengo alafu ukiangalia kwa mbali unapata mashaka!sasa hayo màshaka yanatokana na mhemko au kihelehele?unaletaje mada bila kuwa na facts?Mods hili suala naona limeshakuwa sugu,tunaomba MTU anapokosoa mambo ya kitaalamu basi awe anakuja na facts vinginevyo uzi ufutwe kuepuka kujaza server bure.
 
Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja.

Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka. Naamini kuna hela imezidi Ila kwa vile mkuu alishatamka hicho kiasi basi TBA wamelazimika kuendelea kukariri bilioni kumi.

Jé wasimamizi wa mradi huo walikuwa hawalipwi? Bodi ya ukadiriaji majenzi ina standard zake katika kujenga Jengo lolote. Nina amini ipo siku tutapata uhalisia wa gharama hizo.

Kuna athari kubwa ya kutokuwa wakweli katika mradi huo. Athari yake ni kuwa kila jengo litakalojengwa nchini kama litapita gharama hizo basi wataambiwa wameweka chá juu. Tuliona hili kule Simiyu. Rais alikataa Jengo lenye kukadiriwa hela nyingi. Akatoa mfano wa bilioni kumi katika mradi huu wa mabweni ya udsm. Wataalamu watakuwa na woga kuleta gharama halisi zá majengo kwa hofu ya kuambiwa wameweka chá juu.

Tunahitaji kupata majengo haya kwa gharama nafuu lakini isiwe chini ya nafuu. Natoa wito wakadiriaji majenzi waje hapa kutupa standard zao zikoje kwa majengo kama haya. Wasiogope kusema ukweli.

Flat 20 ina maana kila flat iligharimu shilingi milioni 500. Jé flat moja lenye floor 4 gharama yake ni milioni 500? Na hapo hapo wakajenga na uzio. Sitaki kufurahia tu kupata majengo haya lakini lazima gharama halisi zionekane.
Mimi sina utaalamu wa ukadiriaji majenzi lakini nilipouliza wataalam wenzangu walijibu gharama iliyotajwa ni sawa na kupigwa mchanga wa macho huwezi kujenga flat zenye ukubwa ule kwa bil.10 hata akipewa malaika mradi ule ni udanganyifu na hadaa kubwa iliyofanywa kwa wananchi
 
Mwisho wa utawala wake tutasikia kashfa nyingi ya upigaji hela kwenye hii miradi ya ujenzi
 
Yani waswahili bana mliletaga uzi umu kwa haitowezekana
Imewezekana, mnatafuta cha kuongea tena.
Me nadhani mlikuwa mnaombea mambo yasiende sawia.

Kumbeh wasawhili si watu wa kuwaendekeza hata kidogo.
Hawa sio waswahili!, waswahili Sikh zote niwastaarab. Hawa vibweka tu.
 
Nilishangaa sana mzee wa magogoni alipojinasibu gharama ya ujenzi wa majengo huku akidhani hakuna wataalamu wanaoweza kuchanganua gharama halisi. Dah haya bwana wacha tuambiwe sie wezi ili kuficha ukwapuaji wao
 
People with great minds can not be comfortable in this country and have nothing to celebrate so far.
Ndio maana watanzania hatutaki kudanganywa na ukawa et watatuletea maendeleo!) Coz we have nothing to celebrate! Acha tu ccm iendelee kututawala.
 
Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja.

Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka. Naamini kuna hela imezidi Ila kwa vile mkuu alishatamka hicho kiasi basi TBA wamelazimika kuendelea kukariri bilioni kumi.

Jé wasimamizi wa mradi huo walikuwa hawalipwi? Bodi ya ukadiriaji majenzi ina standard zake katika kujenga Jengo lolote. Nina amini ipo siku tutapata uhalisia wa gharama hizo.

Kuna athari kubwa ya kutokuwa wakweli katika mradi huo. Athari yake ni kuwa kila jengo litakalojengwa nchini kama litapita gharama hizo basi wataambiwa wameweka chá juu. Tuliona hili kule Simiyu. Rais alikataa Jengo lenye kukadiriwa hela nyingi. Akatoa mfano wa bilioni kumi katika mradi huu wa mabweni ya udsm. Wataalamu watakuwa na woga kuleta gharama halisi zá majengo kwa hofu ya kuambiwa wameweka chá juu.

Tunahitaji kupata majengo haya kwa gharama nafuu lakini isiwe chini ya nafuu. Natoa wito wakadiriaji majenzi waje hapa kutupa standard zao zikoje kwa majengo kama haya. Wasiogope kusema ukweli.

Flat 20 ina maana kila flat iligharimu shilingi milioni 500. Jé flat moja lenye floor 4 gharama yake ni milioni 500? Na hapo hapo wakajenga na uzio. Sitaki kufurahia tu kupata majengo haya lakini lazima gharama halisi zionekane.
500,000,000 Tsh inatosha mkuu kujenga 1 flat with 4 floor kwanza TBA ndo wanajenga so they have their quantity surveyer,architectures, electronic consultants, Plumbing consultants, building engineers Hawa wote Wana mishahara yao TBA vile vile wamechukua nguvu kazi kutoka SUMS JKT na MAGEREZA na wote wana Mishahara yao kutoka Taasisi zao. Kwahivyo mkuu 500 million kununua material tu nakujenga utashindwa kujenga jengo lenye ghorofa nne utakuwa mpumbavu mkubwa mimi hata 6 floor flat ningeweza kujenga
 
Majengo ndiyo hayo na gharama iliyotimika ndiyo hiyo. Shida yako unaumia sana umegimdulika dili zako zilizokuwa zinatuumiza sisi wa vijijini. Tumefunguka na lazima tutakuwa bega kwa bega na mheshimiwa Raisi ili tupate kujenga zahanati, shule na nyumba za walimu na wauguzi kwa bei nzuri.
Pole sana ndugu yangu mpiga dili, sisi wa vijijini tutakuwa bega kwa bega na Mheshimiwa Raisi ili tujenge zahanati, shule, nyumba za walimu , nyumba za wauguzi na nyumba za ofisi za serikali kwa bei safiii kabisa. Nakushauri ufanye biashara nyingine kwa hili tumeshafahamu mlikuwa mnatugonga.
Yaani kama kweli upeo wa kufikiri ndo huo, hii nchi inayo kazi. Umesoma post yangu ukaielewa kweli? Kwahiyo sasa wa vijijini ndo mmepona? Kazi kweli kweli
 
Mimi sina utaalamu wa ukadiriaji majenzi lakini nilipouliza wataalam wenzangu walijibu gharama iliyotajwa ni sawa na kupigwa mchanga wa macho huwezi kujenga flat zenye ukubwa ule kwa bil.10 hata akipewa malaika mradi ule ni udanganyifu na hadaa kubwa iliyofanywa kwa wananchi
wakati unawauliza mlikuwa bar manake tangu ijumaa watu hawajaenda kazini wako pasaka.
 
500,000,000 Tsh inatosha mkuu kujenga 1 flat with 4 floor kwanza TBA ndo wanajenga so they have their quantity surveyer,architectures, electronic consultants, Plumbing consultants, building engineers Hawa wote Wana mishahara yao TBA vile vile wamechukua nguvu kazi kutoka SUMS JKT na MAGEREZA na wote wana Mishahara yao kutoka Taasisi zao. Kwahivyo mkuu 500 million kununua material tu nakujenga utashindwa kujenga jengo lenye ghorofa nne utakuwa mpumbavu mkubwa mimi hata 6 floor flat ningeweza kujenga
hongera sana umenanga kisawasawa, hawa manyumbu tabu sana, sijui mbowe anayaongozaje?
 
Huo ni uongo wa mchana haiwezekani bil 10 kujenga hizo Mimi najua kwanini tumedanganywa
inaonekana wewe ndiye mkuu aliyesema kuna watu walimwambia kujenga hostel zile inatakiwa bilion 150

kipi kinakufanya usiamini??

watu wameweka uzalendo mbele pale sio maslahi yao
 
Ungemsaidia sana Rais wako kama ungejibu hoja. Sasa shida yako ni kuishia lá pili B. Hoja yangu itaonekana na maana kubwa kwa kushindwa kwako kujibu na unatanguliza matusi ukidhani mimi nitashtuka.
Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa JPM na watendaji wake wamesaidia sana kizazi cha wa Tz , watoto watasoma bila shida kuliko haya mapige kelele tu, oh tumeibiwa. Kama unamashaka si upeleke mashitaka polisi/mahakamani? Sasa kulalamika mitandaoni wezi watarudisha hela? Ujinga uliopitiliza. Haya endelea ukidhani itakusaidia kumbe unapoteza mda bure, ni ushamba kuwashitaki wezi jf au fb.
 
47 Reactions
Reply
Back
Top Bottom