Kama Dar es Salaam hawamtaki Paul Makonda, basi ahamishiwe Kigoma

Hakubaliki kwa wauza cocaine, bangi, mirungi nk lakini anakubalika kwa watu walio safi kama sisi.
Nyie ndio wale anawalishaga kila jumapili pale kwake MASAKI n kutoka n buku tano kama wale mateja pale Manyanya Kino...... DSM haimtaki huyo bi mdogo wa Kipara sema tu Kipara apindui mbele ya tak* lile la bashite
 
Mithali - Proverbs 11

1 Mizani ya hadaa ni chukizo kwa Bwana; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.
2 Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu; Bali hekima hukaa na wanyenyekevu.
3 Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.
 
Uliloko tsee? ulatweye kumtuka sowawe eshaa ,abhahungu bho miziminsi bhazenzela bha minduye inyo nikomuli. Nchu ndondelela ulakilonkwa , ejo uzasanga ugwile munyo nda kubhatitse .
Amugomba makonda aze kigoma kuko yo kubhatitka ugwile munyo? Ulatsala ntitumugomba.
 
Pole sana mke wa Bashite pole sana.......nguvu yote ile ngoma imetoka? Daaa usiache kuomba Mungu!!! Pia mwambie mwenza apunguze uonevu na sifa za kijinga kuna maisha baada awamu hii......muishi kama RC wengine!! Amezidi sifa
 
Salute!
Nimekuwa nikisikia na kuwa Dar watu hawampendi mkuu wa Mkoa mchapakazi Makonda. Sasa nitoe ombi kwa mheshimiwa rais ampeleke Mkoa wetu ule ,akatusaidie kutatua kero na kusukuma maendeleo.

Halafu tuone huo msimamo alionao, ambao umewashinda wanaume wa Dar, akapambane na nguvu ya Ujiji na viunga vyake. Halafu inasemekana yeye ni jasiri atatufaa sana maana kule kuna watu wanaojiamini sijawahi kuona . Nataka kuiona nguvu halisi ya Kipenzi chetu huyu katika kuleta maendeleo.

Tanzania ni kubwa ila ina mipaka yake na mwisho wake. Karibu mtani, maana yule mtani aliyeko huko siku hizi simskii tena nasikia ni major general wa jeshi,spidi yake imepungua, sijui kwani.

Tulashashe Mtwale niwegeere.

Nawasilisha!
Kigoma hakuna mateja aende kufanya nini ? Mwache asafishe jiji , unga hampati ngo
 
Ha ha embu muacheni tuendelee kupata vichekesho kutoka kwake we hujuinkuwa yule ni.mtu wankukurupuka na kutoa maboko. Mnataka watu wa ujiji mfurahi nyie tu kila wiki na matukio yake ya sifa tuacheni wana dar tuendelee kuinjoy hii comedy bana....mchukueni Gambo ale rambirambi huko kwenu
 
Salute!
Nimekuwa nikisikia na kuwa Dar watu hawampendi mkuu wa Mkoa mchapakazi Makonda. Sasa nitoe ombi kwa mheshimiwa rais ampeleke Mkoa wetu ule ,akatusaidie kutatua kero na kusukuma maendeleo.

Halafu tuone huo msimamo alionao, ambao umewashinda wanaume wa Dar, akapambane na nguvu ya Ujiji na viunga vyake. Halafu inasemekana yeye ni jasiri atatufaa sana maana kule kuna watu wanaojiamini sijawahi kuona . Nataka kuiona nguvu halisi ya Kipenzi chetu huyu katika kuleta maendeleo.

Tanzania ni kubwa ila ina mipaka yake na mwisho wake. Karibu mtani, maana yule mtani aliyeko huko siku hizi simskii tena nasikia ni major general wa jeshi,spidi yake imepungua, sijui kwani.

Tulashashe Mtwale niwegeere.

Nawasilisha!
Uliloko chane we muhungu ugenda wa minuyinyo. Amu ugomba ndaguswele.
 
Back
Top Bottom