Recent content by marna

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shule Nzuri ya Boarding kwa mtoto wa miaka 3 - 4

    Duuh afadhali nimesoma hii nilikuwa january nimpeleke mwanangu pale Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Benki gani ni nzuri kwa kufungua akaunti ya mtoto?

    Exim bank ni nzuri zaidi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

    Upo kabsaa shoga angu mmoja ndo zake anapiga Simu anaeleza matatizo ela anatuma kwa M-PESA
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa, mwanaume akinipa hela ananiomba tena hela

    Akikwambia pika nakuja kula si uwe unamwambia aje na vitu vya kupika hapo hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamshushaje Diamond?! Au Mnamaanisha Wasanii Wapya wa WCB?!

    Umemaliza kila kitu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba: Lulu ameenda miaka 2 jela na atatoka, Kanumba hatarudi tena

    Uko sahihi mtoto anauma saana jamani watu wanashindwa kumuelewa huyu mama anaendeshwa tu na uchungu Na si vingine
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chozi la mwanamke huwa halipotei bure ni laana kwa mwanaume aliyeuumiza moyo wake

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli kwa hawa wawili.Diamond & Kiba

    Mimi nilikuwa simshabikii dai kabsaa lakini nilivyoona jitihada zake za kuupeleka mziki wetu nje nilijikuta nakuwa shabiki wake, tukatae tukubali diamond kamuacha mbali Sana kiba ingawa na kiba pia anajua kuimba lakn kuna tofauti kubwa sana Kati yao Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Siasa kwenye nyumba za ibada inatakiwa kukemewa kwa nguvu maana inaweza leta matabaka kwa watu.Sijui kwann serikali inamkalia kimya huyu anayejiita Mchungaji badala ya kukemea anachofanya au aweke wazi Kama ndo kaingia rasmi na yy kwenye siasa aache uhuni wake huyo gwajima.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Sijaanza kumjua leo, ila nachojua kuhusu huyu Dada ni mvurugaji tu na kigeugeu. That's all
  11. M

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Huyu Mange anakoelekea atatugawa Sana watz, yaani daah inasikitisha sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

    Tukishafata huo ujinga wako, unataka stress zetu za maisha tuzitoe na nn? Kila Ana haki ya kufata kunakompendeza mwenyewe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lulu kujiunga na siasa

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

    Kiukweli warumi huwa napenda posts zako zinanipaga furaha sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kufanikiwa mkopo kwa tulio-appeal?

    deadline ni tarehe ngapi??
Back
Top Bottom