Recent content by markdendesi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusajili gari za mnadani

    Ni utaratibu gani unatumika kusajili gari ya serikali iliyonunuliwa kwenye mnada?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu?

    mwanamke kuondoka nyumbani bila taarifa wala kutaka kuwasiliana ni hali ya dharau na udhalilishaji kwamba wewe si lolote kwenye nyumba yenu. fikiri kwa umakini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hujafa Haujaumbika:Story ya kusikitisha sana

    Ama kwa hakika nimeamini ya watu vinaponza na hasa aliposema hakujua kama kuna mmiliki. Maskini weee macho juu yamemponza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lazima mjue kutofautisha

    mbuzi na kondoo ziwa na bahari mawio na machweo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujazaliwa chini 1990 mambo haya hutayajua

    kukata vifungo kwenye nguo ili kucheza kamari kutumia kombeo za mabua ya mahindi kutumia bembea zilizopo kwenye miti mikubwa misituni
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaotoka familia zenye uwezo ni wazito kitandani

    Hiyo kaliiiiiiiiiiiiii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo ni sehemu ya changamoto za kutafuta ufumbuzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    kweli hiyo nafasi inahitaji mtu makini hususani kipindi hiki kilichobakia kuelekea uchaguzi mkuu
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why Do Men Change After Marriage?

    The question of care not existing after marriage is just a matter of perception and expectations. Most of the individuals running for marriage they think that, after marriage they transfer or move from one world to completely a new world something which is not the case.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wamtesa konda.

    hasara ya mwenye roho mbaya kwa wanafunzi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuombe maelekezo kwanza kabla hatujaanza kukitumia.

    jamaa lazima azimie
  12. M

    JamiiForums Tanzania Du!!! Mathematics noma, Msome huyu dogo alivyojibu swali la necta

    Nkoamangasha sec school ( ero malimu inaleta sarau ya sisi kufanyia swali yake chini, lasima niipate swali yake hata kama imeamua tukae chini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchaguaji Si Mtendaji

    Mchagua pombe si mnywaji
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mchaguaji Si Mtendaji

    Mchagua K*m* si ................
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuipata kazi kweli kweli

    Nitamu sana pindi ukiipata, ila kuipata kwake ufanye kazi ya ziada kweli kweli 1. Kuipata ni shida maana ni tamu thanaaaaa 2. Unapaswa uwe na maneno matamu yenye ushawishi 3. Uwe mvumilivu na usiyekata tamaa kirahisi 4. Uwe tayari hata kupokea majibu usiyotarajia 5. Uipatapo yaweza kuwa chungu...
Back
Top Bottom