Hii imekaaje ndugu zangu?

Hii imekaaje ndugu zangu?

Ni hivi km huyo kaoa dadake na dadake ni mkubwa kwenye familia basi huwa wana mamlaka hayo km wazazi wamemuarifu afanye kutokana na umbali au uzoefu wa kukabiliana na ww. Hiyo nikukubana wewe mwizi wa binti yao. So wako sahihi kwa tamaduni za huko. Kalipe mahari utakaaje na mtoto wa mwenzio unamtumia bila ghalama...

Mkuu inamaana mahari kwa wahehe ni lazima na si kuwa makubaliano kati ya wazazi na muoaji.
 
cha kufanya hapo usijifanye kichwa ngumu kuwa upande wa waliokosea na uende na kama hiyo mahari unayo ilipe japo nina imani kuna lingine waliloliona hilo la mahari ni kelele tu...

Wajamvi atimae ukweli umepatikana,jamaa anampenda mke wangu kuliko mke wake. Sikujua kabisa maana kanitumia sms eti huyo ndo baba mtoto
 
Àchana naye,unaibiwa apo pia inawezekana MTT sio wako,labda wa Shem mtu.akili za kuambiwa changanya na zako.
 
hahahaaa.... we kauka tuu...kwani ulimuahidi kumuoa?? kama ulimuahidi kalipe mahari....otherwise kaangalie kichanga kimya kimya,,, usisahau kwenda na kifurushi.
 
mwanamke kuondoka nyumbani bila taarifa wala kutaka kuwasiliana ni hali ya dharau na udhalilishaji kwamba wewe si lolote kwenye nyumba yenu. fikiri kwa umakini.
 
Wajamvi atimae ukweli umepatikana,jamaa anampenda mke wangu kuliko mke wake. Sikujua kabisa maana kanitumia sms eti huyo ndo baba mtoto

sasa hapo mkubwa usikubali kama binti anakupenda pigania penzi lako nenda katoe mahari mchukue mkeo ila kama hakupendi hapo "mapenzi ya kifilipino na kikorea" weka kushoto jali mishe zako tu na anza na mwingine bila kulaza damu...
 
Daaah hii ni kali saana ,yaliwai kunikuta mkuu binti nilimtafutia hadi kazi lakini mwisho ikawa hivyo kama hii yako. Niliachana naye mwaka sasa na simu nilibadirisha kabisa.
 
Mkuu kwanza una uhakika huyo mtoto ni wakwako au ni wa huyo shemeji ake?
 
sindike imali iyo. ndachene yudada pesiwiheta imali asipiluka ng'o. pedee usindikage isenga sihanu, mene sidatu, ng'oro sivilii
 
sindike imali iyo. ndachene yudada pesiwiheta imali asipiluka ng'o. pedee usindikage isenga sihanu, mene sidatu, ng'oro sivilii
Kaka sijakuelewa,niambie kwa kiswahili ili nijue vizuri.Au niku pm mkuu
 
ss bro unakaa na mtt wa watu kitambo mpaka mimba hatimae mtt bado hutaki kwenda kwao kwani hujui kuwa nae alizaliwa? kama unampenda fuata taratibu umchukue wife wako.
 
Back
Top Bottom