Recent content by mark sam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, tumia ndege ili kunusuru maisha ya askari

    Sasa Singida ndege ya raisi ingetua wapi wewe? Dodoma kwenyewe haiwezi kutua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kwa wenzetu leo, lita 1 ni shilingi karibu Tsh 270-Tazama

    Sio SUMATRA wanaousika mkuu bali ni EURA
  3. M

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    Mbona ni mbunge tayari?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rostam na Lowassa, msaidieni Meshack wa Channel 10!

    Lakini alikuwa Chanel ten na pia ujumbe umefika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Kumbe mipango ilikuwepo long time duh!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bundi katua Nyumba ya Jirani, Katibu wa Wilaya (CHADEMA) Lindi ajiunga na CCM

    Sasa UKAWA kuna nani wa kumchukua jamani? Hapo mlipo katibu mkuu hamna cuf na hawana mwenyekiti viongozi wote ni wachumia tumbo sie twataka? HapaKaziTu!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

    Hii sasa hatari bungeni wataongea nini hawana jipya ndo maana mgombea wao hadhubutu kuongelea ufisadi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Najua ni ngumu wao kuamini unachosema mpaka watapoona ila ki ukweli hali sii shwari UKAWA
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

    Kila askofu fisadi sii rafiki na CCM huyu nae alitapeli mitambo ya watu kibabe hana jipya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Ndo maana mnaitwa wapumbavu maana hamtaki kujua kwamba CCM ni chama kubwa si rahisi kama mnavyoona.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Hapa napata shida
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye yuleyule Magufuli, au tumtarajie mwingine?

    Magufuli hoyeeeeee!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Kumbuka huyu ni mtu wa kiroho anatakiwa awe mvumilivu maana imeandikwa atakaevumilia hadi mwisho atavikwa taji ya uzima!!! Sasa yeye kitu kidogo tu kinamtoa imani na kumtoa kwenye neno?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rajabu: Magufuli anampigia kampeni Lowassa bila kujua

    Hivi mbona sijawahi kusikia Magufuli kamsema au kumchafua mtu? Najua ahadi ya kuu ni viwanda na bila viwanda hatuwezi kukuza uchumi wala kupata ajira viwanda kwanza mengine yatajileta yenyewe!!! Mmebaki porojo tu Lowasa Lowasa kwa lipi? Na mnajua fika Magufuli ni jembe na ndie Raisi utaki kaa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kunguni wawili aliowataja Magufuli Kilindi ni nani hao??

    Naona imekuuma kweli kweli au na wewe ni mmoja wapo wa kunguni?
Back
Top Bottom