Tujipe miaka/miezi michache tuanze tena kulia lia tukiomba rais kama JPM. Tatizo watu wana ubinafsi na tamaa sana bila kujua lazima kila reformation ije na maumivu makubwa na inabidi kuvumilia kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Huwezi kupata mtu kamilifu lakini unaweza pata someone who will get the...
Mimi nasema kuna vitu vitatu vinavyoelezea hii hali. Majira, mazingira na jamii.
Dunia inaongozwa na majira. Wazungu si wa kwanza kwa maendeleo ila ni wakati wao huu. Wamisri walikuja wakapita, waajemi nao, nk. Tukija karibuni hapa mwingereza katawala sehemu kubwa sana ya dunia lakini wakati...
Nna mdogo wangu ana hili tatizo la epilepsy. Limemsumbua kwa miaka mingi, zaidi ya 10. Hata kusoma kasoma kwa shida. Kuna daktari alikuja kumpa hizo phenobarbitone tatizo likapungua angalau akaweza kumalizia shule. Sasa alikuja kwangu nikae nae nkaona tatizo bado lipo japo anatumia hizo dawa...
Umetisha mkuu. Ongezea hizi:
* kukimbiza ringi kwa kamba au mti,
* kupopoa maembe njiani wakati wa kutoka shule,
* kutega ndege kwa ulimbo,
* kupiga baruti siku ya mwaka mpya,
* kuvaa visoda shingoni darasa la kwanza na la pili,
* kusikiliza kipindi cha mama na mwana kila jmosi,
* kudandia...
Exactly my thinking when I was watching it. It's a lengthy video but i didn't notice the hour go by. The world needs more poeple of this calibre to come out.
This is more of relativity but deep down you end up with that.
Btw, ile video yako ya pastor anaelezea science na Mungu ina mambo mengi ya kujifunza. Weka link yake hapa basi, kuna watu watatoka na kitu.
Mleta mada tofautisha infinitesimal na infinite. Infinite is very large in any direction, infinitesimal ni very small towards one point. Hapo unapopunguza distance unaelekea infinitesimal sio infinite, vile vile kwa time. Sijapinga mawazo yako, nimerekebisha kidogo. From quantum physics point of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.