Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Wakuu habari zenu?
Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.
Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.
Shukrani.