Recent content by Mark Galus

  1. Mark Galus

    Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?

    Nimeona sehemu nyingi sana. Soweto Moshi, na Kariakoo Dar es Salaam
  2. Mark Galus

    Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?

    Weather it's a fake news or NOT. Hata hapa Tanzania Kuna huo UFALA sometimes unafanywa na Waislam, wa kufunga barabara kukwaza watu ili uswali. Ni kiwango kikubwa sana Cha ukosefu wa Ustaarabi
  3. Mark Galus

    Msaada wa haraka Cursor haitembei

    Au bonyeza F6 endelea na kazi
  4. Mark Galus

    Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    We jamaa umekuja huku kuanzisha Uzi kabisa? Una utoto sana aisee. Uliuliza swali na mhusika kwamba uoneshe sehemu alipotaja dini! Hujibu unaruka ruka. Umekuja huku umeanzisha thread
  5. Mark Galus

    Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

    Kwamba Tanzania ni nchi tajiri na inayofahamika sana duniani.
  6. Mark Galus

    Watanzania wengi wana tatizo la uelewa na ufahamu (upeo mdogo). Hii inawapa mwanya wajanja kuwatapeli kirahisi

    Mkuu unawakumbuka Wasabato Masalia waliotaka kwenda kuhubiri Gombo huko Ughaibuni bila kuwa na tiketi ya ndege wala Passport ya kusadiria eti Passport yao ni Biblia? Tena unaenda kuhubiri kwa Waliotuletea Dini eti Masalia tuwaweke kundi gani?
  7. Mark Galus

    JamiiForums Usiku wa manane

    01:15 Sipati Usingizi Kabisa Jamani, nikilala hata dakika ishirini kausingizi kakianza mwili unapooza na kulegea kama naparalyse moyo unashtuka hivyo nalazimika kubaki hivyo macho bila kulala
  8. Mark Galus

    Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    We jamaa unakera sana. Shambulio la trump tuliona vyombo vikiact pale pale na anayedhaniwa kuwa muuaji, samamba na raia mmoja kuuawa pale pale. Baada ya hayo dola ikatangaza immediately kwamba vyombo vyao FBI na CIA tayari vimeanza uchunguzi wake! Lissu anapigwa risasi maCCM mlizuia hadi watu...
  9. Mark Galus

    Kwanini wafanyabiashara wa Kariakoo wasipeleke maumivu kwa mtumiaji wa mwisho(mlaji)?

    Kinachoendelea kuhusu mgomo wa wafanyabiashara kariakoo ni mazingaombwe. Si mgomo halisi kuna boss mkubwa wa TRA anaundiwa zengwe. Nothing is at it seems
  10. Mark Galus

    Natoa pongezi kwa Jerry Silaa na Paul Makonda kwa kushughulikia matatizo ya Watanzania maskini

    Sisi Unaposema "SISI VIJANA" unamaanisha wewe na akina nani? PUMBAVU
  11. Mark Galus

    Jerry Silaa anatuonesha jinsi mfumo wa utoaji haki ulivyooza...

    Naamini kama hujawahi kukutana na UJINGA, ufala na dharau za wananchi kuhusu masuala ya Ardhi basi utaona ulichokiongea ni sahihi. I rest my Case
  12. Mark Galus

    Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    MADA: ELIMU , AKILI, & UJINGA Madam FaizaFoxy. Nikusalimu kwa heshima unayostahili. Kwa Muda mrefu sana kumekua na mkanganyiko katika jamii kuhusu AKILI &ELIMU. Wapo baadhi ambao wamekua wakizitumia terminologies hizi wakifikiri wanamaanisha kitu kimoja lakini baadhi ya wachache wamekua...
  13. Mark Galus

    John F. Kennedy, CIA na Lee Oswald: Ujuaji Vs Dola, Kitendawili cha dunia ambacho hakijateguliwa mpaka sasa

    Plagiarism Japo umemuacknowlege mwandishi wa kwanza The Bold Ndugu umefanya kitu kimoja Cha kusononesha sana. Umemcopy kila kitu Ndg Habib M Hanga aliyeandika 2017 then Unajiweka na wewe. Umenisikitisha sana!
  14. Mark Galus

    Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

    Kama ambayo hao wanaowaharakishieni kuwaambia kwamba Kuna maisha baada ya kifo hawajawahi kufa kamwe. The vice Versa is true chief.
Back
Top Bottom