Recent content by Mariwand

  1. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Simba shida zimeisha?

    Mbona kama umekasirika mkuu
  2. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mpo sita kwa sita ila yeye anachati wewe unajishugulisha?

    Na ukifanya hivyo hawezi rudia kuchat huku uchakataji ukiendelea, atakuwa makini tu😂😂😂
  3. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mpo sita kwa sita ila yeye anachati wewe unajishugulisha?

    Akirudia siku nyingine jifanye umekosea Tundu, utakuja kunishukuru Niko palee nimesimama
  4. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia mpenzi wangu kuwa ananuka mdomo?

    Kama vp funguka tu umwambie si unampenda, mwambie
  5. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Tz matukio ya ajali yanapotokea ndiyo utaona maafisa usalama barabarani na vitambi vyao na mbwembwe kibaao kwa ushauri wangu ushauri wa Kinana Upuuzwe
  6. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ambao wanatumia mizizi kuteka hisia za wanaume

    Au na mi nisharogwa nini mbona napenda kizembezembe ivi?
  7. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Samia atimiza ndoto za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere

    Wapiga zumari bhana
  8. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta, Arap, Kibaki, Kenyatta, Arap - huu ukiritimba wa Uongozi ndio hayati Magufuli alipambana kuufuta!

    Wajaluo wameumia sana
  9. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapongeza Wakenya kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

    Jecha hadi nae akagombea kule Zanzibar na bado akaliwa kichwa😂😂😂
  10. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

    Mkuu mbona kama umeumia au mzee wa Govi (kitendawili) ni Basha wako
  11. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

    Niliwaambia Ruto anakuwa Rais wa Kenya na sasa imekuwa Asante Mungu
  12. Mariwand

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

    Ruto anakuwa Rais wa Kenya niamini
  13. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

    We utakuwa Muisilamu siyo Bure mmmmh
  14. Mariwand

    JamiiForums Tanzania Kocha mkuu Yanga SC kutimkia Morocco

    Labda mliibe kombe msimu huu
Back
Top Bottom