Tatizo kubwa hapa Bongo, msanii yeyote akikataa kuburuzwa na hao akina Kusaga na wenzao( clouds media) ndio wanaanza kumsanyia fitina za kumshusha kisanii, tuliona kwa Sugu, Jaydee na sasa Diamond, hawa ni wasanii wanaojielewa, na wanajua nini wanafanya, mbona Mwz hakuzomewa na sehem zingine pia...