Picha linaanza nimemaliza kidato Cha sita ivyo nasubilia majibu sasa nilikuwa na uhitaji wa smart phone [emoji1787][emoji1787] basi ikabidii niingie mtaani kupiga kazi yoyote ile maana Mama alikuwa ana wazo la kuninunulia smart phone mpaka matokeo yatoke so nikaona apa nitachelewa...
Upo sahihi kabisa Mkuu
Yani niliwai ingia kupatana.com nilikutana na hawa jamaa Yani laptop zao ni 420000 tuu sasa ukiomba wakutumie kwanjia ya gari wanakuwa na trick Moja ya kusema sasa si Bora uje apa ofisin kwetu sasa ili uje kuakiki mzigo wako sasa ukijichanganya tuu kuwaamini Yan apo...
Ah ah Mambo yapo poa kabisa Mkuu
Nikipata muda nitaleta mrejesho maana saiv Wana miezi mitatu so mafanikio yapo kwa asilimia 85% Mkuu
Tuombe uzima nitaleta uzima
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Akikupiga ngumi ya sikio ww mpige ya jicho, akikwambia unajisikiaje ww mwambie unaonaje [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nipo Singida mwaka wa tatu huu lkn sijaona iyo sura nzuri unayo isema Mkuu labda unipe chimbo niende nikaone izo sura nzuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.