Recent content by marido

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Daah mm demu wangu Wa kilokole aliniacha eti " tumuombe sana mungu " kumbe mwenzangu alipata mtu aliyejiweka sawa tayar kimaisha kuanzia iyo siku siamini tena mtu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa chuo kahamia kwa mwanaume kisa anapewa hela ndogo ya matumizi chuo

    Iyo pesa inatosha ukijibana tabia yake tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Hongera bas kwa mamlaka niliopewa nakutunuku phd
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

    Unajua kwa wahsibu. Ukishajua kwamba both CPA(T) ACCA. zinafuata. IFRS. Hutaumiza kichwa nadhan wataalam wameshaelewa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF wanataka kumhujumu Samatta

    Mnaonaje mkichanga nauli tumia hii namba spesho tigo pesa 0713567098
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wachagga na Serikali ya Magufuli

    Unajua mnajiona bora sana sasa mtaisoma kwan makabila mengine mbona hawalalamiki au nyie ndo ruling class
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Nashauri mtoto wenu wa kwanza aitwe kenyaeaways
Back
Top Bottom