Recent content by marianne

  1. M

    Dalili za mume anayetembea na "house girl"

    Part two of the story: Mume kama ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kazi, ikitokea mke amesafiri ni nafasi kubwa sana kwao kujiachia. Ni katika kipindi hicho, hausigeli ataweza kuingizwa hadi chumbani na kulala. Tena wengine hujiachia vibaya, kwani hata akiamka asubuhi anaweza kuacha...
  2. M

    Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

    Duh poleni sana. Muwekeni baba yenu katika maombi naamini Mungu atawaonyesha njia sahihi ya kuhandle tatizo. Binti wa kazi mtafuteni 4 medical check ups na ushauri nasaha.
  3. M

    Gilrs talk...strictly not för men.

    Duh yaani Cheusi umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka semister ya tatu chuo niliishi na shoga yangu mmoja, kwa kweli ni ngumu sana ukizingatia kila mtu kakulia kivyake. Tulikuwa tunapika kwa zamu, ikifika zamu yake visingizio haviishi kumbe maskini alikuwa hapendi kupika na mimi kupika napenda...
  4. M

    Dalili za mume anayetembea na "house girl"

    Siku hizi hamna ndoa, ni ndoano. Watu wanaishi kama wanaigiza vile. Sasa baba mwenye nyumba kwa kabinti ka kazi unafata nini?
  5. M

    Dalili za mume anayetembea na "house girl"

    Mke ukiona haya jua kuna kitu hakijakaa sawa kati ya baba na dada anayewasaidia kazi za ndani... DALILI YA KWANZA Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kazi ni kupenda sababu za kumwamsha mfanyakazi huyo hata pale anaporudi na kumkuta...
  6. M

    Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

    Hongera sana mpendwa, hope u r dream will be fulfilled. Please tupe feed back on the progress of your mision.
  7. M

    Heshima ya Mwafrika/Mtanzania

    Kujichubua ni inferiority complex, na wengi wao huwa hawajui madhara yake na wakiyajua inakuwa too late, kurudisha ngozi kama zamani inakuwa ngumu.
  8. M

    Wakwe wanamnyima raha kwenye ndoa yake, ushauri please

    Habarini friends, Hapa ofisini nina mfanyakazi mwenzangu, tumezoeana na kuwa very close friends. Yeye kaolewa huu mwaka wa tano na mumewe kwao wanajiweza kifedha (wakwe), karibu kila siku ananung'unika jinsi wakwe zake na mawifi wanavyoingilia ndoa yao ikiwemo mipango yao ya maendeleo. Wakwe...
  9. M

    MTI anaotumia babu wa Loliondo ni sumu?

    By Staff Reporter THE MOST TOXIC TREE WHICH BECAME A CURE TANZANIANS have been taken in emotions over the miraculous cure being offered by the retired Pastor of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) one pastor Ambilikile Mwasapile at an off the road Samunge Village in Loliondo...
  10. M

    Hodi, naomba tuwe pamoja

    Habari zenu vijana na wazee(wakubwa) shikamooni. Nimevutiwa na mijadala ya humu jukwaani hivyo nimejiunga na hii forums rasmi. Ntafurahi kupata ushirikiano kutoka kwenu Great thinkers. Pamoja daima
Back
Top Bottom