Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

Nashindwa cha kukwambia Miss Judith!
Lakini kwa mbali nakuona kama una amri sana dadaangu!
Sijui utanijibuje hili!
Naamini mtu wako huyo haingii huku, na ndiyo maana umejimwaga kuweka mambo hazarani!
Kama ndivyo, basi una nafasi bado ya kujirekebisha!
 
Pia Rafiki yangu Miss Judith unapenda sana ligi za Ubishi!
Wanaume walio wengi huwa hawapendi mwanamke mwenye maneno marefu!
 
Hongera judith, kwa hiyo forms tayari zimefungwa no more maombi, kura tayari na mgombea tayari kapatikana, mvua tano si mchezo ina mana wakati Mkulu yuko first term jamaa nae kaanza kampeni....ngoma nzito kweli...

hahah,

magulumangu mshairi wangu, nimefurahia na fasihi yako.

tuombeane mpendwa tufike salama

Glory to God!!
 
"baada ya misukosuko yote, hatimaye alinielewa vyema...judith
Si unaona eeh?
Inaonyesha jamaa alikubali kwa shingo upande na wala haikuwa mapenzi yake!
Nakupongeza kama mmekubaliana, lakini ukiwa ndani hakikisha unakuwa mpole!
Mkishachukuana hatikubali uendelee kumfosifosi!
 
ndugu mpendwa,

asante sana kwa kunitia nguvu. kuhusu hiyo unayoita haraka sio kuwa nimeisha ipanga tarehe ya harusi. kama umesoma vizuri umeona kuwa nimesema kuwa "kama mambo yataenda kama ninavyoomba, ndoa itafungwa mwezi october au novemba 2011!!' manake ni kwamaba hiyo october au november 2011 ni maombi yangu tu. tarehe halisi itategemeana na mambo memngine na ndio maana nawaalika tombeane.

ubarikiwe sana

Asante,
Natumaini Mungu atakupa haja ya moyo wako..Ukapitie zaburi ya ishirini, kama baraka kutoka kwangu..Uwe na amani
 
Pia Rafiki yangu Miss Judith unapenda sana ligi za Ubishi!
Wanaume walio wengi huwa hawapendi mwanamke mwenye maneno marefu!

Hilo nalo neno....,
ukizingatia kuwa wanaume wengi (Tanzania) wanapenda sana kuwatambua wao kama kichwa ndani ya nyumba,
na siyo mabega...lol

Nimetolea mfano wa Tanzania ksb ndiyo mwisho wa upeo wa macho yangu.
 
Aisee! hii imekaa njema, nakutakia harakati njema na uweze kufikia malengo yako bila vipingamizi vyovyote vile.. Nitakuombea mpendwa..

Kumbe ndo maana PM huwa sijibiwi siku hizi, Lol......

asante sana mpendwa,

PM zote zinajibiwa na hakuna matatizo, labda kama kuna PM imesahaulika ni bahati mbaya tu, nisamehe mpendwa

ubarikiwe sana

Nashindwa cha kukwambia Miss Judith!
Lakini kwa mbali nakuona kama una amri sana dadaangu!
Sijui utanijibuje hili!
Naamini mtu wako huyo haingii huku, na ndiyo maana umejimwaga kuweka mambo hazarani!
Kama ndivyo, basi una nafasi bado ya kujirekebisha!

nashukuru kwa busara zako mpendwa.

nashukuru kwa hayo maoni juu ya haiba yangu na naamini yatanisaidia sana kujirekebisha

Mungu akubariki sana

Hongera. Lakini, ina maana kwa kauli zako weye ndie nahodha? Unapanga wewe? Nakushauri umkubalie tu na mengine umwachie apange

nashukuru kwa ushauri wako

ila napenda ujue kuwa safari ya papmja sharti ianze kwa pamoja na tunazingatia hilo. logistics zinazoashiriwa hapa si rasmi na hazijaamuliwa bado. ndio maana nikasema " kama mambo yataenda kama ninavyoomba" manake ni kuwa ninaomba Mungu awezeshe ywe hivyo na hali halisi itategemea na circumstances.

tuombeane bila kuchoka mpendwa

Pia Rafiki yangu Miss Judith unapenda sana ligi za Ubishi!
Wanaume walio wengi huwa hawapendi mwanamke mwenye maneno marefu!

nakubali ushauri wako kwa asilimia zote rafiki, nitazingatia kwa neema ya Mungu

ubarikiwe sana
 
wapendwa, niko chumani kwangu saa hizi... ni kwamba baada ya siku 30 zijazo yaani jumatano ya tarehe 1 june 2011, nitamuarifu rasmi kijana mmoja kuwa nimemteua kuwa mchumba wangu!!!... kijana huyu nimemfahamu tangu mwaka 2006 alipoanza kunitaka mapenzi, ... baada ya misukosuko yote, hatimaye alinielewa vyema nami nikamuelewa... kama mambo yataenda kama ninavyoomba, ndoa itafungwa mwezi october au novemba 2011!!

Mungu awabariki sana

mpenzi wenu Miss Judith (Mrs mtarajiwa)

Glory to God!

Sasa dada Judy, nina maswali machache hapa...!

Nakuuliza hivi... Mosi kwanini hiwe baada ya siku 30 na isiwe sasa!?

Pili je umemfahamisha huyo uliye mchagua kuwa mtarajiwa hiyo tarehe uliyopanga ndio utamthibitishia kuwa yeye ndiye chaguo lako? Analifahamu ilo?

Tatu, hiyo mipango ya ndoa ni wewe unayepanga au ni baada ya yeye na wewe kukubalina kuwa wewe ndiye wake na yeye ndio wako? Kisha baada ya hapo mkawaeleza wazazi ndugu na jamaa zenu kama ilivyo desturi zetu Waafrika!

Ni hayo tu.

Samahani kama nimekukwaza.

Amani ya Bwana Mwenyezi hiwe nawe
 
Ms Judith am so proud of you .... The first stage kujua unachotaka na kwamba kiko available..... GOOD LUCK''
 
nina mchanganyiko wa wasiwasi na matumaini, japo najiamini kwa hili ninalotarajia kulifanya, lakini tashwishi na mchecheto vinanizinga, nimeona niwashirikishe huenda nikapata tafu japo kidogo!!
kWA KAWAIDA, MWANAMKE huwa na wasiwasi sana kabla ya kuolewa....baaada ya kuolewa anatulia!
Lakini MWANAUME wasiwasi wake huanza MARA baada ya kuoa!...Na maisha yote kwa mwanaume ni ya wasiwasi, na ndiyo maana huwa wanaume wanawahi kunako hukumu!..wanawaza mno!

Judith, umeonyesha kwa kauli zako kuwa una wasiwasi kwa muda huu kabla ya kuolewa!
PLEASE MSAIDIE HUYO JAMAAKO ILI ASIANZE TAABU NA KUTESEKA BAADA YA KUKUOA WEWE...nothing personal dear, huo ndio ukweli wa maisha!...You have the key to your husband's life-span!....inatisha kidogo lakini lazima tukwambie!
 
...hii imekaa ki sinema sinema, au pengine mwenzetu aliangalia sana Royal Wedding? :A S-confused1:
In real life na maisha ya kibantu, rahisi kujipangia haya lakini utekelezaji wake unakuwa mgumu.
Anyway, kama ulivyosema mwenyewe

...kila kilichokuwa kinazuia sisi kuwa mwili mmoja kimeondoshwa kwa neema za Mungu. nimeamua kuwa June mosi nitamthibitishia kuwa ndiye mume wa ndoto zangu. naam, mume wa ujana wangu! kama hatakuwa na objection

Weye ndiye mjuaji, nakutakia kila la heri bana.
 
wapendwa,

nimeamua kuwa June mosi nitamthibitishia kuwa ndiye mume wa ndoto zangu. naam, mume wa ujana wangu! kama hatakuwa na objection, siku ya jumamosi ya tarehe 4 June, nitamtambulisha nyumbani kwetu na kumtaka naye apange siku ya kunipeleka na kunitambulisha kwao.

Glory to God!

Mungu akutangulie kusiwepo na hiyo blue. Manake usijekuta ameshakukinai kwa jinsi ulivyomcheleweshea jibu miaka yote mi5.
 
...hii imekaa ki sinema sinema, au pengine mwenzetu aliangalia sana Royal Wedding? :A S-confused1:
In real life na maisha ya kibantu, rahisi kujipangia haya lakini utekelezaji wake unakuwa mgumu.
Anyway, kama ulivyosema mwenyewe

Weye ndiye mjuaji, nakutakia kila la heri bana.

MKuu,
Judith ni kamanda fulani vile, we ushaelewa.
Ngoja nikupe taswira anavyofanania, japokuwa ana nafasi ya kujirekebisha(ana siku30 tu za kujirekebisha)
:
couple-arguing.jpg
 
Si unaona eeh?
Inaonyesha jamaa alikubali kwa shingo upande na wala haikuwa mapenzi yake!
Nakupongeza kama mmekubaliana, lakini ukiwa ndani hakikisha unakuwa mpole!
Mkishachukuana hatikubali uendelee kumfosifosi!

siyo kuwa kakubali kwa shingo upande, la hasha! kwa kweli yeye alikuwa tayari tangu hiyo 2006 na mimi ndiye nilikuwa sikjaweka mambo yangu sawa lakini surprisingly enough amenivumilia na "ubishi" wangu wote na kwa kweli sioni sababu nyingine kwa sasa kukataa tusiungane kuwa mwili mmmoja!

Hii ndiyo shida kuu ya Miss Judith!
Usichukie dadaangu, maana hapa tunakucheza!

sichukii mpendwa na tena nafurahi sana kwa ushauri wenu nyote na ndio maana nikaomba maombi yenu nikitegemea pia ushauri wenu

ubarikiwe sana mpendwa

Sasa dada Judy, nina maswali machache hapa...!

Nakuuliza hivi... Mosi kwanini hiwe baada ya siku 30 na isiwe sasa!?

Pili je umemfahamisha huyo uliye mchagua kuwa mtarajiwa hiyo tarehe uliyopanga ndio utamthibitishia kuwa yeye ndiye chaguo lako? Analifahamu ilo?

Tatu, hiyo mipango ya ndoa ni wewe unayepanga au ni baada ya yeye na wewe kukubalina kuwa wewe ndiye wake na yeye ndio wako? Kisha baada ya hapo mkawaeleza wazazi ndugu na jamaa zenu kama ilivyo desturi zetu Waafrika!

Ni hayo tu.

Samahani kama nimekukwaza.

Amani ya Bwana Mwenyezi hiwe nawe

hujanikwaza hata kidogo mpendwa,

siku 30 nimeamua mimi binafsi ili nipate fursa ya maombi na sijamueleza japo nahisi ameishaanza kushtukia mwenendo wangu kwa siku za karibuni lakini asielewe sawasawa!

sio kuwa napanga kila kitu. kama umefuatilia nilivyowajibu waliotangulia, utaona kuwa, tarehe nilizotaja hapa ni kuwa "naomba tu ziwe hivyo" ila tarehe halisi yatakapotimizwa yote, ajua Mwenyezi Mungu pekee

Glory to God

Ms Judith am so proud of you .... The first stage kujua unachotaka na kwamba kiko available..... GOOD LUCK''

ooh, thanks a lot my sister

God Bless You!!

<br />
<br />
Ha ha PJ acha uchokozi mwenzio anataka kuingia ndani ya ndoa muombee afanikiwe.

haha, kaka PJ umesikia?

lakini sio uchokozi, nashukuru kwa ushauri wako wote,

ubarikiwe sana

kWA KAWAIDA, MWANAMKE huwa na wasiwasi sana kabla ya kuolewa....baaada ya kuolewa anatulia!
Lakini MWANAUME wasiwasi wake huanza MARA baada ya kuoa!...Na maisha yote kwa mwanaume ni ya wasiwasi, na ndiyo maana huwa wanaume wanawahi kunako hukumu!..wanawaza mno!

Judith, umeonyesha kwa kauli zako kuwa una wasiwasi kwa muda huu kabla ya kuolewa!
PLEASE MSAIDIE HUYO JAMAAKO ILI ASIANZE TAABU NA KUTESEKA BAADA YA KUKUOA WEWE...nothing personal dear, huo ndio ukweli wa maisha!...You have the key to your husband's life-span!....inatisha kidogo lakini lazima tukwambie!

usemayo ni kweli na nimeyasikia mara nyingi sana. na nitajitahidi kuzingatia ushauri wako na sitachoka kumuombea kwa Mungu

ubarikiwe sana mpendwa

...hii imekaa ki sinema sinema, au pengine mwenzetu aliangalia sana Royal Wedding? :A S-confused1:
In real life na maisha ya kibantu, rahisi kujipangia haya lakini utekelezaji wake unakuwa mgumu.
Anyway, kama ulivyosema mwenyewe

Weye ndiye mjuaji, nakutakia kila la heri bana.

sio kuwa napanga kila kitu mpendwa. angalia nilivyowajibu wengine kuna majibiu unayohitaji.

ubarikiwe sana
 
MKuu,
Judith ni kamanda fulani vile, we ushaelewa.
Ngoja nikupe taswira anavyofanania, japokuwa ana nafasi ya kujirekebisha(ana siku30 tu za kujirekebisha)

...It is more like this
man-on-a-leash-5.jpg

anyway, inaelekea Miss Judith anatokea kwenye familia ambayo "mama ana sauti kuliko mzee!"...
Inakubalika lakini, aka "powerful women!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom