Recent content by marianay

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya 2016/2017, soma hapa

    F YA PHYSICS IMEMHARIBIA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Maswa aagiza jeshi la polisi kumkamata meneja wa Mamlaka ya Maji kwa udanganyifu

    Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Rosemary Kirigini. DC Maswa Rosemary Kirigini ameliagiza jeshi la polisi kumkamata na kisha kumfikisha katika vyombo vya sheria Meneja wa Mamlaka ya Maji Maswa(MAUWASA) Lema Jeremiah (pichani) kwa kuidanganya kamati ya ulinzi na usalama juu ya gharama za ujenzi wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya 2016/2017, soma hapa

    march 31 kwa intake ya april
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya 2016/2017, soma hapa

    Habari zenu, Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2015 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2016/2017. Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yakanusha uvumi kuhusu Ajira Mpya za Walimu

    we kibuyu acha ubishi taarifa ipo
  6. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yakanusha uvumi kuhusu Ajira Mpya za Walimu

    we kibuyu si umepewa ushahidi na mkuu yuvinusm hapo juu,acha ubishi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tigo University offer: Kutoka 1GB mpaka 500 MB per week

    offer bado ipo kibuyu wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanafunzi wa Mwaka wa nne SUA afariki dunia, akiwa anafanya research !

    Mwanafunzi wa SUA kozi ya engineering Mwaka wa nne ENG.KUNYUMBA ISACK alifariki dunia jana. Kifo cha marehemu kimetokea wakati akiwa anachukua data za research maneo ya mabwawa ya horticulture SUA. Kwa bahati mbaya aliteleza kwenye bwawa la horticulture, juhudi za kumwokoa zilifanyika lakini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Enzi hizo Makonda akiwa MUCCOBS libary, full kung'amua

Back
Top Bottom