TANZIA: Mwanafunzi wa Mwaka wa nne SUA afariki dunia, akiwa anafanya research !

marianay

Member
Mar 12, 2016
24
8
Mwanafunzi wa SUA kozi ya engineering Mwaka wa nne ENG.KUNYUMBA ISACK alifariki dunia jana.

Kifo cha marehemu kimetokea wakati akiwa anachukua data za research maneo ya mabwawa ya horticulture SUA. Kwa bahati mbaya aliteleza kwenye bwawa la horticulture, juhudi za kumwokoa zilifanyika lakini alikuwa tayari amefariki dunia.

source:maswayetublog
 
Maskin POLENI sana wafiwa POLENI sana tumepoteza mtu muhimu sana kama taifa wafiwa, wanafunz wote wa Sauti POLENI sana
 
Apumzike kwa Amani.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe AMEN
 
Du so sad jina la bwana lihidiwe japo kafa kishujaa ...aingizwe kwenye kumbukumbu za chuo if possible
 
Poleni sana wafiwa na Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.

Back
Top Bottom