Mkuu wa wilaya ya Maswa aagiza jeshi la polisi kumkamata meneja wa Mamlaka ya Maji kwa udanganyifu

marianay

Member
Mar 12, 2016
24
8
993080_1018763401529951_6290008445573749257_n.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Rosemary Kirigini.

DC Maswa Rosemary Kirigini ameliagiza jeshi la polisi kumkamata na kisha kumfikisha katika vyombo vya sheria Meneja wa Mamlaka ya Maji Maswa(MAUWASA) Lema Jeremiah (pichani) kwa kuidanganya kamati ya ulinzi na usalama juu ya gharama za ujenzi wa chujio la maji katika bwawa la Zanzui.

Naye RC Simiyu. Antony Mtaka ameitaka TAKUKURU kuchunguza uendeshaji wa Mauwasa kwani kuna dalili za matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Pia kuwanywesha maji yenye tope wakazi wa Maswa na bila kuyawekewa dawa ya kuua vijijidudu.

Chanzo: Mtandaoni
 
Daaaa kazi ipo mwaka huu! Hiyo kesi ya takukuru! Sio police! DC asiwe na jazba saana! Kesi inahusisha uchunguzi na procedure za manunuzi!
 
Back
Top Bottom