Anhaa kumbe, basi sawa. Wanavyo ongea hivyo na wewe daka maneno humo humo, utapata tu cha kuombea maji.
Pia Chiwanda ni kijijini kwetu (mzazi wangu mmoja katoka hapo).
Uwe na siku njema mkuu.
Ha ha haa. Hicho nilichokujibu ni kinyamwanga japo kina fanana na kinyiha baadhi ya maneno.
Jifunze mkuu. Ukitaka kumteta mtu utafanyaje? siku hizi kila mtu anajua Kiswahili na Kiingereza.
(Ha ha haaa, natania bwana)
Mmmmh. Nimejisikia vibaya. Unaweza kuvuta taswira kwamba huyu ni kiongozi, je ana "utu"?
Mtu amezimia halafu unachombeza "Dar oyeeee".
Jamaniiii!!!! Tusijisahau hakuna atakae dumu milele.
Na ni MUNGU gani Makonda unamwabudu? Wewe sio Mkristo.
Dah...hapana kwa kweli.
Na hao wanaoshangilia bila...
IST. Mwisho wa mchezo. Ile shule bwana acha kabisa. Ila wengi wanaokwenda pale ni wanatokea familia za wanadiplomasia(diplomats), ukizingatia malipo yao yale na marupurupu ya kuishi nchi kama Tanzania ile fedha wanaimudu kuilipa, haiwapi ugumu kama sie tunavyoona ugumu kwetu.
Na wengine ni...
Ahsante sana mkuu, ila nilichokifanya baada ya kugundua nimeibiwa simu nili badili password ya mi cloud kwa kuogopa kwamba mwizi ana weza kuaccess data muhimu sana nilivohifadhi kule. Unadhani hata baada ya kubadili password nina nafasi ya kuipata?
Natanguliza shukhrani.
Ha ha ha haaaa, wadau wamemjibu vizuri kweli.
Wewe ishi maisha yako, zile wipes sio za chooni tu hata mikononi na usoni pia, halafu unaonekana huna kazi ya kufanya.
Yaani umekaa mpaka unachunguza muda watu wanaenda kukata magogo?
Eboooo. Kasome kule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.