Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Yaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo wakienda msalani kukata magogo au haja ndogo wanajipangusa wanaondoka eti kisa hawataki mimaji maji mimaji yaani huu ni uchafu wa kiwango cha kimataifa ivi kwa nn mwanamke utumie tissue? Ndo maana nyuzi za maradhi yenu sehemu za siri haziishi mnatembea na uchafu haswa madada wa maofisini, wadada wa chuo na ma sister duu tishu mnajipaka vinyesi
Inaitwa Baby wipes
 
Bonge la Ujumbe!

Kwa kujazia tu ni kwamba tishu haifai kujisafishia baada ya kwenda haja (sio wanawake tu hata wanaume) hivyo watu watumie maji safi kujitawaza badala ya tishu.

Kumekuwa na wimbi la watu kujitawaza kwa kutumia vitu kama karatasi, tishu na mfano wa hivyo pasipo udhuru wowote (sababu) ya kutotumia maji (na wakati huo maji yapo).

Tabia hiyo mbali na kuleta athari mbaya kwa jamii kama alivyoeleza mleta uzi lakini pia ina madhara mabaya sana kwa afya ya mtu

Tutumie maji safi katika kufanikisha usafi (hususan usafi wa mwili na mavazi)
 
Ni maoni yako siwezi kukupinga.
ukipaka mavi ya kuku nyuma ya kiganja chako,ukafuta na tissue..Nina hakika hutokua na confidence ya kupalamba..lakini ukiosha kwa maji hutokua na shaka kupalamba..kwa kuwa maji husafisha kweli
 
Wengine unaanza kujifuta na tishu kisha maji yanafuatia hatushiki vinyesi.[QUOTE ]

Duh!

Kiukweli maji ya public toilet sichambi nayo kuna siku nilikuta kohozi Kwenye maji bora Hizo wipes jamani. Au km ni haja Kubwa ninunue maji ya chupa. Lakini haja ndogo utanisamehe mtoa Mada.
Maji ya Chupa unachambaje na Kuflash choo??
 
Kumbe wanafanya hivyo maofisini na vyuoni na siyo nyumbani. Sasa shida iko wapi? Unataka tutembee na ma jiaba ya maji mgongoni?
Nikutoe tuu tongotongo, siyo kila anayeenda chooni kashika tishu basi huko hatumii maji,
Wengine unaanza kujifuta na tishu kisha maji yanafuatia hatushiki vinyesi.
Sio hamshiki tu mi najua wadada hawakati magogo kabisa
 
ukipaka mavi ya kuku nyuma ya kiganja chako,ukafuta na tissue..Nina hakika hutokua na confidence ya kupalamba..lakini ukiosha kwa maji hutokua na shaka kupalamba..kwa kuwa maji husafisha kweli
Upatikanaji na hayo maji na usalama wake ndio unachangia wadada kutumia wipes au Tissue.
Sijakataa utumiaji wa maji, Ila pale inapobidi tissue na wipes zinatumika.
Kumbuka hii desturi ya kutumia maji si kwa Mataifa yote ndio maana wakaweza kutengeneza wipes za kutawazia.
A1882D00-B308-FCE0-BB379BBED1CD7701.jpg
 
Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.

Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.

Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Sure, sidhani kama zinatumika kwa matumizi aliyowaza. Wenyewe nafikiri mmenielewa.
 
Asante kwa mada hii nzuri. Nakubaliana na wewe kwamba Dada zetu wanakumbwa na matatizo lakini sikubaliani na jinsi mada ilivyowananga kwani kuna mazingira magumu kwa dada na mama zetu kwenye mazingira yanayowazunguka.

Kwenye maeneo mengi ya maofisi vyoo ni vibaya kwakweli, mazingira sio masafi, na hakuna maji ya kutosha. Hapa nazungumzia ofisi za kawaida ambapo ndipo wengi wanafanya kazi.

Unakuta choo kina maji kwenye ndoo na kopo chafuuuu ambapo kutumia tu ni kinyaa,yaani hauwezi kuligusa kwa sababu ukiligusa halafu akashika huko chini kujisafisha basi hilo ni tatizo lingine.

Mfano wa kweli: kuna kanisa moja nasali,vyoo vyake havina maji ya bomba hadi ndani halafu ni vidogo kwahiyo wameweka maji nje ya mlango kwenye mandoo makubwa yale. Kwahiyo mwanamke huyu(sista duu) kama tunavyowasema itabidi achote maji kwenye kopo aingie nalo chooni halafu aweke lile kopo chini ili avue nguo akimaliza achukue kopo ajisafishe halafu aliache hapo na mwingine akija aende akaingize kwenye ndoo na utaratibu uendelee hivyo hivyo.

Kwahiyo kuna mazingira magumu sana kwa dada na mama zetu katika mazingira yanayowazunguka ambayo sio hatari sana kwa sisi wanaume.

Zamani tulikuwa tunajenga majengo bila kujali miundo mbinu ya wenye ulemavu lkn tunajitahidi kutoka huko. Sasa kwenye suala la wanawake inabidi pia lichukuliwe kipaumbele wakati tunatengeneza miundo mbinu kwa kuzingatia hali zao ili wawe na faragha wakati fulani ili kuwaepusha na haya magonjwa ya bacteria na UTI na kuwashwa. Vyoo vyao viwe vingi na vyenye miundo mbinu ya usafi.

Hata wao wanapenda kuwa wasafi, hawapendi kukaa wanawashwa huko chini ila mazingira ndio hayo tumewasukumia na badala ya kuwatetea na kutafuta suluhu tunaanza kuwasema!
Poleni Dada zangu
Umemaliza Yote. Nina zawadi yako ya krsmas
 
Choo nitaflash na maji yao ya kwenye ndoo,ungejiongeza kidogo sio kila swali kuuliza
Wewe siumesema hugusi vyombo vyao wala ndoo zao, Sasa hio bottle unayonunua na hako kamdomo kake si kanatoa maji machache mbonà naona uchafu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom