Kuna mtu kakwambia hapo wapo vituo vyote vya polisi..i guess uende kituo cha karibu yako uwaeleze then watakupa muongozo kama wataweza kukusaidia wao au watakudirect kwingine.
Mwaka jana walikuja kutoa hela ya field around week ya tano hivi baada ya field kuanza..vumilieni, ikifika hadi hiyo wiki hamna kitu hata hao supervisors wanavokuja kuwa-access wasipowakuta wasilalamike na kutaka kuwakata marks!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.