Msaada, namna ya kuweka picha application ya online

Msaada, namna ya kuweka picha application ya online

mundu m

Senior Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
119
Reaction score
18
Ewura wametoa nafasi za kazi application ni oline(email yao wametoa) ila wanataka uambatanishe passport size unaiweka sehemu gani?
 
weka tangazo hilo la ewura na wengine tuone
 
Ipige picha hyo passport size yako, transfer kwny PC yako, then insert it there kwny sehemu ya kuweka hyo picha..kama size itakua kubwa i-crop!
 
Back
Top Bottom