MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,085
MT.MERU ipi? mbona mimi Sijapata hela za field........?
Hujamuelewa
MT.MERU ipi? mbona mimi Sijapata hela za field........?
ndo ivoo mkuu
kuna baadhi ya vyuo ela imetoka mda tu kama udsm mzumbe mwalimu nyerere ..na vingine bado mpka leo Hii mkuu ...sasa shida ni bodi sijui nivyuo vyenyew acha tu mkuu
Ardhi pia tunakaribia kuimaliza hiyo hela yenyewe tushapewa kitambo tu
Kwaiyo inawezekana Bodi kutoa kwa baadhi ya vyuo na vingine isitowe? Wakati pesa inasainia kutoka kwa wakati mmoja!