Recent content by Maressi

  1. Maressi

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Demu kwenda kwa mganga wa kienyeji na kimini.
  2. Maressi

    JamiiForums Tanzania Style gani za kunyoa nywele na ndevu zinayowavutia wanawake?

    Wanawake wanavutiwa na hela tu na si kingine!!
  3. Maressi

    JamiiForums Tanzania Wanawake akili zenu dah! Kila siku mnanipa mafundisho in a hard way

    Kaka wanawake hawaambiwagi ukweli!!
  4. Maressi

    JamiiForums Tanzania Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

    Hata waongeze mpaka mwakani watu wameshasanuka mnama!!
  5. Maressi

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    Arusha jamani too much unaweza ukaingia bank ukafikiri umeingia kwenye nyumba ya msiba, kwanza wafanyakazi wenyewe wana hasira, mizee tupu unamuuliza hiki anajibu kile, wanafurahi sana wanapoona watu wamepanga foleni.
  6. Maressi

    JamiiForums Tanzania Marufuku kutumia simu kazini kuanzia Januari 2017

    Unajisahaulisha EFD
  7. Maressi

    JamiiForums Tanzania Anguko la Mabenki: Barclays yawaambia watumishi "hali ya benki kifedha si nzuri", ni hasara tu

    Hilo si swali, NMB wana uhakika na pesa kwenye mzunguko wa kila mwezi, 90% ya watumishi wa Umma mishahara yao inapita NMB so zile bank charges tu zenyewe kwa watumishi hao 90% ni faida kubwa sana kwao tofauti na Bank nyingine za kibiashara ambao wao walijikita zaidi kwa wafanyabiashara tena...
  8. Maressi

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira mkongwe aliyekusudia kwenda mbele zaidi kutafuta ushindi

    Bench la ufundi
  9. Maressi

    JamiiForums Tanzania Hongera Multichoice Tanzania

    Na bado watatulia tu kwa usawa huu wa kofuli Deck zote zitafanyiwa maarifa
  10. Maressi

    JamiiForums Tanzania Hongera Multichoice Tanzania

    Sport 24 HD unaipata wapi?
  11. Maressi

    JamiiForums Tanzania TRA/PCCB chunguzeni wizi mkubwa Max Malipo leo hii

    Tumeipenda wenyewe na pia ni chaguo letu milele mvimbe mpasuke twaendelea kuisoma mzeeee
  12. Maressi

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, je makato haya yote ni uungwana?

    Wewe hupaswi kulalamika hilo tuachie sisi wa 350,000/- kwa mwezi, kula halafu futa mdomo uendelee na mambo mengine.
  13. Maressi

    JamiiForums Tanzania Polisi Wauana Kwa Risasi Jijini Mwanza Wakiwa Lindoni

    Hawa hawana lingine zaidi ya wivu wa mapenzi wamepigiana mademu kambini sasa wanalipiziana kisasi!!
  14. Maressi

    JamiiForums Tanzania Majambazi waiba fedha Sinza Makaburini, Dar es Salaam

    Sikilizia sasa filamu atakayokuja nayo kamishna utacheka
  15. Maressi

    JamiiForums Tanzania Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Atakuwa na mwanaume nje
Back
Top Bottom